cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Haiingii akilini, familia ya huyu dada sijui ipoje..ni kama vile haina mtu mwenye akili wote akili zao zimefananaTena siyo kidogo. Yaani tabia mbaya mno. Unapata taarifa za mtu unakimbilia kufanya maamuzi?
Bila hata kuwashirikisha wahusika?
Hapana, waTZ hatupo hivyo. Tena ingekuwa ni mimi nimechumbiwa hlf nikapata habari mbaya kuhusu jamaa sicheleweshi naanza na yeye kumuhoji. Yaani huwezi kaa kimya hata kidogo sijui mwenzetu aliwezajeNdo unafiki wetu huu wTZ
Keshaharibu, binafsi hyo ni ishara kwamba huyo si mwanamke bora. Kipindi hicho huwa na vita vikubwa.Kuelekea ndoa hua kuna maneno mengi ya uchonganishi toka kwa wenye roho mbaya hivo hua ni vyema kua makini kuliko kukurupuka, kikubwa waeleze ukweli wa jambo kama wanayo nia hakitoharibika kitu.
Yes, ndicho alichotakiwa kukifanya.Hapana, waTZ hatupo hivyo. Tena ingekuwa ni mimi nimechumbiwa hlf nikapata habari mbaya kuhusu jamaa sicheleweshi naanza na yeye kumuhoji. Yaani huwezi kaa kimya hata kidogo sijui mwenzetu aliwezaje
Hakuna aliyekushauri unywe sumu. Hivyo ukinywa hiyo ni juu yako usianze kusingizia JFNakubali makosa kuna muda najifungia nataman hata Kunywa sumu
mkuu habari kama hizi huleta taharuki kubwa, mhusika anakua anawaza kama ameweza nificha hata nikimuuliza hawezi kua mkweli hivo ataona suluhu ni kususa, nimewahi shiriki ndoa kadhaa zenye changamoto za namna hii hivo haya mambo hutokeaHapana, waTZ hatupo hivyo. Tena ingekuwa ni mimi nimechumbiwa hlf nikapata habari mbaya kuhusu jamaa sicheleweshi naanza na yeye kumuhoji. Yaani huwezi kaa kimya hata kidogo sijui mwenzetu aliwezaje
Sawa, basi hata wazazi na ndugu zake walishindwa kuwasiliana na wenzao?mkuu habari kama hizi huleta taharuki kubwa, mhusika anakua anawaza kama ameweza nificha hata nikimuuliza hawezi kua mkweli hivo ataona suluhu ni kususa, nimewahi shiriki ndoa kadhaa zenye changamoto za namna hii hivo haya mambo hutokea
mkuu taarifa za ghafla kuelekea jambo huleta taharuki na kuwaweka njia panda wahusika maana mtawaza hata tukiwauliza kama waliamua kutuficha hawawezi kutuweka wazi, kuna mdogo wangu alijipata katika kadhia hii tulifikia hatua ya kurudisha mahari bt baada ya taharuki ile muoaji akatupa muda wa kuchunguza ukweli na tulipojiridhisha ndo mambo yakaendelea, cha ajabu alotupa taarifa ya kua bwana harusi ana mke mwingine ni mtu wa familia ile kumbe ni chuki tu za walimwengu.Sawa, basi hata wazazi na ndugu zake walishindwa kuwasiliana na wenzao?
Ukute limwanmke lenyewe ni used mpaka limekuwa scaper. Lina boyfriend na linalalaga huko hadi asubuhi, halafu kuolewa kuwa mke wa pili linaringa. shenzitypeAnajifikiria mwenyewe huyu dada alisahau jamaa kakubali kuwa mume wa pili.
Mbeya mpaka Ngara, naomba Mungu usipate Mme kamwe!Jamani mambo zenu, Niko katika wakati mgumu
Mimi ni binti wa miaka 29 kwa sasa, nimempata mwanaume ambaye tulipanga mengi sana hadi kupanga jinsi ya kufunga ndoa,
Mwaka fulani niliingia kwenye mahusiano na kijana mmoja toka Mbeya, ila kwa sasa anaishi Afrika ya Kusini kwa shughuli zake ,
Tulikubaliana kuanza kutambulishana kwao, na kwetu
Nakumbuka alinilipia nauli ya ndege nikaenda kwao kutambulishwa nikamshukuru Mungu kwamba nimepata mme sasa,
Tumeendelea na utaratibu na mshenga akatumwa kwetu kusema, baada ya kuondoka nikamweleza mama kuwa kijana sawa ananipenda ila hapendi jambo fulan ambalo kwa ukweli sitalisema hapa, mama akasema kama ndo hivo sitak habari zako za kuolewa,
Ikabidi mchakato uendelee kawaida, wakaleta kishika uchumba mama akawa hataki kushiriki hata kidogo, anasusa, sasa shangazi yangu akaniambia kwamba kwakuwa huna baba naomba ili suala tuwashirikishe baba wadogo na wajomba tuendelee na nchakato,
Baada ya muda tukapanga wataletaje mahari na siku ya send off tukaipanga,
Sasa kabla ya send off siku moja kabla tukapata habari kupitia kwa mjomba kwamba Mwanaume anayeenda kunioa kumbe ana mke mi naenda kuwa mke wa pili, taarifa hii ikawachanganya wote hata wajomba wakasema ngoja wajiweke pembeni, maandalizi ya send off yakavurugika wakati huo wakwe wakiwa njiani kuhudhuria sherehe hiyo , walikodi Costa na magari kadhaa kutoka mbeya hadi Ngara,
Wakanikimbia ndugu zangu wote nami nikachanganyikiwa kwa hasira sikutokea kwenye send off na maandalizi ikawa hasara, wakapiga simu nikazima nilikuwa na hasira sana,
Baadaye nikawasha simu nikakuta mama mkwe mtarajiwa amenitumia meseji kwamba "Sikutegemea kama ungetufanyia haya, sisi tunajiandaa kesho tunarudi lakini baki na amani"
Niliumia sana Akaendelea kunitumia meseji za machungu nikijua naye anajua kuwa Mwanae ana mke na mama huyu tumeongea kila siku niliumia,
Sasa yule mchumba wangu akawa ananitafta sipokei nikamwambia sina Muda mchafu wa kuolewa na wewe, hapo sikumwambia kwanini nimebadili mawazo,
Sasa nakumbuka siku kadhaa baadae naitwa nyumbani kwamba kuna kikao,
Kumbe kuna taarifa kwamba yule kijana hakuwa ameoa ila alichumbia sehemu akalipa mahari ila kumbe hakuoa,
Habari zilisononesha sana
Nikaenda kwa askofu mmoja akanishauri
1.Ama tuombe radhi kwao kuendelea na mchakato
2.Ama tuwape kishika uchumba chao maana mahari alikuwa bado angetoa siku ya send off asubuhi yake,
Naomba ushauri wenu plz
Nimeikosea Sana familia ile, pia hasira baada ya kupungua natamani niolewe naye japo nashindwa naanzaje
nilimtext mvulana
Wanawake sometimes sijui mkoje. Sasa wewe unamakubalianao na mchumba wako, likatokea la kutokea hata kuumuliza umeshindwa, ukaona dawa ni kununa na kujifungia ndani. Anyway nenda kaombe msamaha, na rudisheni fedha za watu. Na wala usiongelee maswala tena ya kwamba unataka kuolewa. rudisha fedha, omba msamaha ondokeni. suala la ndoa kama ipo au lah, hilo ataamua mwanaume mwenyewe.Jamani mambo zenu, Niko katika wakati mgumu
Mimi ni binti wa miaka 29 kwa sasa, nimempata mwanaume ambaye tulipanga mengi sana hadi kupanga jinsi ya kufunga ndoa,
Mwaka fulani niliingia kwenye mahusiano na kijana mmoja toka Mbeya, ila kwa sasa anaishi Afrika ya Kusini kwa shughuli zake ,
Tulikubaliana kuanza kutambulishana kwao, na kwetu
Nakumbuka alinilipia nauli ya ndege nikaenda kwao kutambulishwa nikamshukuru Mungu kwamba nimepata mme sasa,
Tumeendelea na utaratibu na mshenga akatumwa kwetu kusema, baada ya kuondoka nikamweleza mama kuwa kijana sawa ananipenda ila hapendi jambo fulan ambalo kwa ukweli sitalisema hapa, mama akasema kama ndo hivo sitak habari zako za kuolewa,
Ikabidi mchakato uendelee kawaida, wakaleta kishika uchumba mama akawa hataki kushiriki hata kidogo, anasusa, sasa shangazi yangu akaniambia kwamba kwakuwa huna baba naomba ili suala tuwashirikishe baba wadogo na wajomba tuendelee na nchakato,
Baada ya muda tukapanga wataletaje mahari na siku ya send off tukaipanga,
Sasa kabla ya send off siku moja kabla tukapata habari kupitia kwa mjomba kwamba Mwanaume anayeenda kunioa kumbe ana mke mi naenda kuwa mke wa pili, taarifa hii ikawachanganya wote hata wajomba wakasema ngoja wajiweke pembeni, maandalizi ya send off yakavurugika wakati huo wakwe wakiwa njiani kuhudhuria sherehe hiyo , walikodi Costa na magari kadhaa kutoka mbeya hadi Ngara,
Wakanikimbia ndugu zangu wote nami nikachanganyikiwa kwa hasira sikutokea kwenye send off na maandalizi ikawa hasara, wakapiga simu nikazima nilikuwa na hasira sana,
Baadaye nikawasha simu nikakuta mama mkwe mtarajiwa amenitumia meseji kwamba "Sikutegemea kama ungetufanyia haya, sisi tunajiandaa kesho tunarudi lakini baki na amani"
Niliumia sana Akaendelea kunitumia meseji za machungu nikijua naye anajua kuwa Mwanae ana mke na mama huyu tumeongea kila siku niliumia,
Sasa yule mchumba wangu akawa ananitafta sipokei nikamwambia sina Muda mchafu wa kuolewa na wewe, hapo sikumwambia kwanini nimebadili mawazo,
Sasa nakumbuka siku kadhaa baadae naitwa nyumbani kwamba kuna kikao,
Kumbe kuna taarifa kwamba yule kijana hakuwa ameoa ila alichumbia sehemu akalipa mahari ila kumbe hakuoa,
Habari zilisononesha sana
Nikaenda kwa askofu mmoja akanishauri
1.Ama tuombe radhi kwao kuendelea na mchakato
2.Ama tuwape kishika uchumba chao maana mahari alikuwa bado angetoa siku ya send off asubuhi yake,
Naomba ushauri wenu plz
Nimeikosea Sana familia ile, pia hasira baada ya kupungua natamani niolewe naye japo nashindwa naanzaje
very selfish. kaniboa sana.Yaani nisamehe bure nimejikuta nimekuchukia ghafla kwa upumbavu ulioufanya, ulikua huna sababu ya kuzimia wakwe zako sim kwa vitu vya kuambiwa. Ungemweleza mama mkwe wako ukwel hata kama alikua kashafika huko kwenu, umekasirika kwa ujinga af kumbe habar sio za kwel. Muangalie vizur mama ako sijui kama ana mapenzi ya kwel na wewe. Yote kwa yote pole sana mweleze mwenzio huenda akakuelewa, mama mkwe wako muombe samahan hata kwa text hata kama haitatokea ukaolewa na huyo jamaa. Pole sana
Jaman nimeomba ushauri mmenisema naomba ushauriMbeya mpaka Ngara, naomba Mungu usipate Mme kamwe!