Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Sawa kabisa angempa jamaa tabu SanaMimi ningekuwa huyo mchumba wako, ningekusamehe. Ila nisingekuoa tena huna sifa za kuwa mke Bora. Huna adabu, huna busara, huna hekima, unapenda umbea na majungu, huna uvumilivu.
Hata ukiolewa kwa tabia uliyoweza kuionesha mbele ya ndugu zake, hasa wazazi, hata ndoani mkiwa wenyewe unaweza kuirudia kwa kupenda na kuyaamini maneno ya uzushi na umbea.
Hahahaha yeah atakuwa hana amaniHahahahahaaaaaaaaaa utakua umepatia nilikua najalibu kumpa puresha mleta uzi na kufulahisha jukwaa, atakua kaogopa eti.
Ulivyoshauriana na ndugu zako na mkachukua Maamuzi kwa mara ya kwanza, hukuwa unajua kuwa kuna JF, leo huku ndio unakuja kutuona ni watu!?Jaman nimeomba ushauri mmenisema naomba ushauri
Noma sana!Using'ang'anie kuwa na watu ambao Mungu anakutenga nao
Huyo kijana Mungu amejitahdi kumtenga na wewe kwaajili ya usalama wake!
Wanawake mnapitia shida sana jamani
Nina mtoto wa kike,aisee akija kua mkubwa eti anakuja mtu anataka kumuoa,naingia FBI mode,my nigga,I will take no prisoners kabisa!
That daughter is my world,eti inakuja issue homework haijafanyika,I will move the world to make sure this nigga is on my database!
I take no chances!
Using'ang'anie kuwa na watu ambao Mungu anakutenga nao
Huyo kijana Mungu amejitahdi kumtenga na wewe kwaajili ya usalama wake!
mkuu wanawake ni wapumbavu zaidi ya hapo yani waliooa sijui wanavumiliajeUlivopata habari tu kama kaoa ama la ungemface kumuuliza, upumbavu ni wako...
We na familia yenu hamna akili kabisa inaonekana ni familia za hovyo kabisa Yan mnachukua Jambo zito Kama Hilo bila kufanya upelelezi matokeo yake ndio hayoJamani mambo zenu, Niko katika wakati mgumu
Mimi ni binti wa miaka 29 kwa sasa, nimempata mwanaume ambaye tulipanga mengi sana hadi kupanga jinsi ya kufunga ndoa,
Mwaka fulani niliingia kwenye mahusiano na kijana mmoja toka Mbeya, ila kwa sasa anaishi Afrika ya Kusini kwa shughuli zake ,
Tulikubaliana kuanza kutambulishana kwao, na kwetu
Nakumbuka alinilipia nauli ya ndege nikaenda kwao kutambulishwa nikamshukuru Mungu kwamba nimepata mme sasa,
Tumeendelea na utaratibu na mshenga akatumwa kwetu kusema, baada ya kuondoka nikamweleza mama kuwa kijana sawa ananipenda ila hapendi jambo fulan ambalo kwa ukweli sitalisema hapa, mama akasema kama ndo hivo sitak habari zako za kuolewa,
Ikabidi mchakato uendelee kawaida, wakaleta kishika uchumba mama akawa hataki kushiriki hata kidogo, anasusa, sasa shangazi yangu akaniambia kwamba kwakuwa huna baba naomba ili suala tuwashirikishe baba wadogo na wajomba tuendelee na nchakato,
Baada ya muda tukapanga wataletaje mahari na siku ya send off tukaipanga,
Sasa kabla ya send off siku moja kabla tukapata habari kupitia kwa mjomba kwamba Mwanaume anayeenda kunioa kumbe ana mke mi naenda kuwa mke wa pili, taarifa hii ikawachanganya wote hata wajomba wakasema ngoja wajiweke pembeni, maandalizi ya send off yakavurugika wakati huo wakwe wakiwa njiani kuhudhuria sherehe hiyo , walikodi Costa na magari kadhaa kutoka mbeya hadi Ngara,
Wakanikimbia ndugu zangu wote nami nikachanganyikiwa kwa hasira sikutokea kwenye send off na maandalizi ikawa hasara, wakapiga simu nikazima nilikuwa na hasira sana,
Baadaye nikawasha simu nikakuta mama mkwe mtarajiwa amenitumia meseji kwamba "Sikutegemea kama ungetufanyia haya, sisi tunajiandaa kesho tunarudi lakini baki na amani"
Niliumia sana Akaendelea kunitumia meseji za machungu nikijua naye anajua kuwa Mwanae ana mke na mama huyu tumeongea kila siku niliumia,
Sasa yule mchumba wangu akawa ananitafta sipokei nikamwambia sina Muda mchafu wa kuolewa na wewe, hapo sikumwambia kwanini nimebadili mawazo,
Sasa nakumbuka siku kadhaa baadae naitwa nyumbani kwamba kuna kikao,
Kumbe kuna taarifa kwamba yule kijana hakuwa ameoa ila alichumbia sehemu akalipa mahari ila kumbe hakuoa,
Habari zilisononesha sana
Nikaenda kwa askofu mmoja akanishauri
1.Ama tuombe radhi kwao kuendelea na mchakato
2.Ama tuwape kishika uchumba chao maana mahari alikuwa bado angetoa siku ya send off asubuhi yake,
Naomba ushauri wenu plz
Nimeikosea Sana familia ile, pia hasira baada ya kupungua natamani niolewe naye japo nashindwa naanzaje
Yaani unafanya maamuzi kwa habari za kusikia juujuu tena toka kwa watu ambao tangu mwanzo walishaonesha kuwa hawakubaliani naww. Pole ila kama ningekuwa nimm hata kama ningekuwa nimekupenda nilikuwa nakupiga chini mazimaaa ushaonesha udhaifu mkubwa sanaa wakutokuwa na msimamo na udhaifu mkubwa wa kuhandle mambo kama mtu mzima kifupi hata sifa za kuwa mama na msimamizi namba 2 wa familia huna kwa ulichofanya unaonekana ni mtu wa kupelekwapelekwa na upepo tuuu badala ya kusimama ww kama ww kufanya maamuzi kwaajili yakoJamani mambo zenu, Niko katika wakati mgumu
Mimi ni binti wa miaka 29 kwa sasa, nimempata mwanaume ambaye tulipanga mengi sana hadi kupanga jinsi ya kufunga ndoa,
Mwaka fulani niliingia kwenye mahusiano na kijana mmoja toka Mbeya, ila kwa sasa anaishi Afrika ya Kusini kwa shughuli zake ,
Tulikubaliana kuanza kutambulishana kwao, na kwetu
Nakumbuka alinilipia nauli ya ndege nikaenda kwao kutambulishwa nikamshukuru Mungu kwamba nimepata mme sasa,
Tumeendelea na utaratibu na mshenga akatumwa kwetu kusema, baada ya kuondoka nikamweleza mama kuwa kijana sawa ananipenda ila hapendi jambo fulan ambalo kwa ukweli sitalisema hapa, mama akasema kama ndo hivo sitak habari zako za kuolewa,
Ikabidi mchakato uendelee kawaida, wakaleta kishika uchumba mama akawa hataki kushiriki hata kidogo, anasusa, sasa shangazi yangu akaniambia kwamba kwakuwa huna baba naomba ili suala tuwashirikishe baba wadogo na wajomba tuendelee na nchakato,
Baada ya muda tukapanga wataletaje mahari na siku ya send off tukaipanga,
Sasa kabla ya send off siku moja kabla tukapata habari kupitia kwa mjomba kwamba Mwanaume anayeenda kunioa kumbe ana mke mi naenda kuwa mke wa pili, taarifa hii ikawachanganya wote hata wajomba wakasema ngoja wajiweke pembeni, maandalizi ya send off yakavurugika wakati huo wakwe wakiwa njiani kuhudhuria sherehe hiyo , walikodi Costa na magari kadhaa kutoka mbeya hadi Ngara,
Wakanikimbia ndugu zangu wote nami nikachanganyikiwa kwa hasira sikutokea kwenye send off na maandalizi ikawa hasara, wakapiga simu nikazima nilikuwa na hasira sana,
Baadaye nikawasha simu nikakuta mama mkwe mtarajiwa amenitumia meseji kwamba "Sikutegemea kama ungetufanyia haya, sisi tunajiandaa kesho tunarudi lakini baki na amani"
Niliumia sana Akaendelea kunitumia meseji za machungu nikijua naye anajua kuwa Mwanae ana mke na mama huyu tumeongea kila siku niliumia,
Sasa yule mchumba wangu akawa ananitafta sipokei nikamwambia sina Muda mchafu wa kuolewa na wewe, hapo sikumwambia kwanini nimebadili mawazo,
Sasa nakumbuka siku kadhaa baadae naitwa nyumbani kwamba kuna kikao,
Kumbe kuna taarifa kwamba yule kijana hakuwa ameoa ila alichumbia sehemu akalipa mahari ila kumbe hakuoa,
Habari zilisononesha sana
Nikaenda kwa askofu mmoja akanishauri
1.Ama tuombe radhi kwao kuendelea na mchakato
2.Ama tuwape kishika uchumba chao maana mahari alikuwa bado angetoa siku ya send off asubuhi yake,
Naomba ushauri wenu plz
Nimeikosea Sana familia ile, pia hasira baada ya kupungua natamani niolewe naye japo nashindwa naanzaje
Mpuuzi huyu yaani anasikia jambo kwa awatu tuu nae anafata upepo na muhusika mkuu yupo na hata kumuuliza tu hamna anaahirisha shuguli nzito kama hii na watu wametoka Mbeya mpaka Ngara kweli????? Yaani unashindwa hata kumuuliza mchumba wako na uko nae unaomdoka na simu unamzimia kabisaaa wakat yy hata hajui kimekusibu nn????? Dada ni mpuuzi na mjinga sanaaa hafai kuolewa aendelee kulia na ndugu zake walomjaza upepoPole sana kwa yaliyokukuta ila;
- Familia yenu ipo so disorganized kiasi kwamba mmepokea rumours tu, rumours tu zikawafanya wote as a family kuahirisha jambo kubwa la namna hiyo.
- Wewe hufai kuwa mke wa mshkaji kwa sababu baada ya mjomba kusema hivyo, kwa nini usimtafute mchumba na kuuliza mwenyewe hayo uliyosikia na ukweli wake.
Mwisho, ingekuwa mimi ningekusamehe kiroho safi lakini nisingekuoa, you're unfit to be a wife.
Mhh huyo bimkubwa wako Yuko sawa kweli !?Send off ilikuwa tarehe 10 taarifa zinatoka tarehe 8 wakati wameanza safari tarehe 7 Kutoka mbeya, nilimtext mvulana kuwa wasitishe wakati huo wameshafika Kahama,
Suala ambalo mama na mimi tulitofautiana ni baada ya kumweleza mchumba wangu kwamba nina mtoto akasema mi ndo naoa kwakuwa nimekukubali ukiwa na mtoto hakuna shida ila akaomba mtoto atamlea na kumsomesha na ameshamlipia ada ya primary one ya mwaka mzima niwe mkweli, ila akanisihi nisiwajulishe kwao kama mi nina mtoto, hapo ndio mama akakazania kwamba lazima wajue, nikamsihi mama kwamba anayenioa kashamkubali mtoto na anamhudumia ila kwao wataleta mapingamizi nikiwaambia muda huu, hivyo kasema tutawaambia mbeleni, mziki ukaanzia hapo mama akajitoa
Nashindwa kuelewa hiyo nguvu ya kutaka kuomba msamaha et ndoa ifungwe tena Inatoka wap ....Yan inashangaza mno[emoji26][emoji26][emoji26] Aisee mmefanya ujinga Sana
Mmeonekana Ni watu wa hovyo