ezekielboaz
Member
- Jan 16, 2010
- 11
- 1
usimwache bwana mi walokole nawafahamu,kweli wakimwona unaishi au kukaa naye bila ndo wanaweza kumtenga au kumfukuza kanisani,we mvumilie tu inawezekana amezungukwa sana na walokole kwenye hayo maeneo ndo mana anaogopa.
Kwanza kabisa nashukuru kwa ushauri.kabla hajaingia kazini alikaa kwangu,nilimuwezesha mchakato wote wa kuingia kazini, na vtu vya kuanzia maisha nilinunua mimi.alikaa miezi 5 kabla hajaingiziwa mshahara mwanaume ilibidi niingie majukumu. Nilishamtambulisha kwa jamaa zangu na marafiki.inaniuma mno.
Akutafute ili umpe darasa au umtafutie mwingine au umeona anakufaa samahani kwa kuingilia im curiousNitafute wangu hayo sio mapenzi! Amos_rupia@yahoo.com
Hapa ndipo makosa mengi yanapofanyika. Hivi kuwa wachumba mpaka mfanye hivyo? Si msubiri muda utakapofika kama kweli una nia hiyo?Mchumba wangu hataki niendee kumutembelea kituo chake cha kazi. Kadai kaokoka hivyo anaogopa watu, hususan watawa waliopo maeneo hayo.tumeshawahi kupractice sex for many days.kwa ktumia nguvu nilienda kwake, cha ajabu nilifungiwa mlango mpaka siku natoka, hakuniruhusu hata kidogo kuona jua.yeye akiondoka alikuwa anafunga mlango. Nisaidien wadau inaniuma sana. NASHINDWA KUELEWA KAMA AMEMPATA MWINGINE AU LAA_UCHUMBA UNA MDA WA MWAKA MMOJA NA NUSU. THIS IS TRUE I AM NOT JOKING LADIES AND GENTLEMEN
Wewe ulisubiri?Hapa ndipo makosa mengi yanapofanyika. Hivi kuwa wachumba mpaka mfanye hivyo? Si msubiri muda utakapofika kama kweli una nia hiyo?
Ndio manake, kweli mwanaume uvumilie mateso ya kifungwa hayo bila tundi?akirudi baada ya kukufungia anakupa uroda au? maana kama kweli kaokoka sidhani kama atakupa.
changanya makongoro utambae.