Naomba ushauri, nimwache au niendelee

Naomba ushauri, nimwache au niendelee

ezekielboaz

Member
Joined
Jan 16, 2010
Posts
11
Reaction score
1
Mchumba wangu hataki niendee kumutembelea kituo chake cha kazi. Kadai kaokoka hivyo anaogopa watu, hususan watawa waliopo maeneo hayo.tumeshawahi kupractice sex for many days.kwa ktumia nguvu nilienda kwake, cha ajabu nilifungiwa mlango mpaka siku natoka, hakuniruhusu hata kidogo kuona jua.yeye akiondoka alikuwa anafunga mlango. Nisaidien wadau inaniuma sana. NASHINDWA KUELEWA KAMA AMEMPATA MWINGINE AU LAA_UCHUMBA UNA MDA WA MWAKA MMOJA NA NUSU. THIS IS TRUE I AM NOT JOKING LADIES AND GENTLEMEN
 
Ya leo kali!!!
Pole sana na kugeuzwa mfungwa!Amua umvumilie au umpotezee...
 
usimwache bwana mi walokole nawafahamu,kweli wakimwona unaishi au kukaa naye bila ndo wanaweza kumtenga au kumfukuza kanisani,we mvumilie tu inawezekana amezungukwa sana na walokole kwenye hayo maeneo ndo mana anaogopa.
 
Kwanini unasema hivyo? kwani uchumba maana yake nini? au unataka kutudanganya kuwa walokole wanaowana bila kuwepo uchumba!

Labda kama jamaa anachakachua tu alafu ndio anaita uchumba, mi ninavyojua mchumba ni mtu ambaye anajulikana hadi kwa wazazi iweje leo afichwe huko kituoni kuliko na kazi! angalia sana Mkuu hapo kuna kitu hatari sana kinaendelea na wewe unaweza kuwa spare tyre. Hawa dada zetu ni kama sisi tu! yamkini kampata mtu mwingine huko wanafanya kazi wote, maana mimi nadhani angeona ufahari kukufahamisha kwa rafiki na wafanyakazi wenzake kuwa wewe ndio mume mtarajiwa!

Wanawake wa siku hizi si kama wa zamani, nao siku hizi kuna wengine wanakupa mme mwenza husipo kuwa macho.
 
Je, unayapenda hayo maisha unayoyaishi au huyapendi? Kama unayapenda endelea naye na kama huyapendi achana naye! Ila mimi nakushauri umuache kwani utaendelea kuishi hivyo mpaka lini. Hayo mimi naona ni mateso yasiyo ya lazima na hayana msingi wowote. Mtafute mwingine!
 
Kwanza kabisa nashukuru kwa ushauri.kabla hajaingia kazini alikaa kwangu,nilimuwezesha mchakato wote wa kuingia kazini, na vtu vya kuanzia maisha nilinunua mimi.alikaa miezi 5 kabla hajaingiziwa mshahara mwanaume ilibidi niingie majukumu. Nilishamtambulisha kwa jamaa zangu na marafiki.inaniuma mno.
 
pole sana, najua ni kiasi gan unaumia. Yalishanikuta nashukuru mungu nilishtuka mapema. Nakushauri ukimbie mapema, hakuna mapenzi hapo. Na ukitaka kuthibitisha jaribu kukaa kimya uone kama atakutafuta.
 
Sasa ulokole gani huo? mie ndio maana siwapendi wanaojiita walokole wengi ni wanafiki, unaona huyu yuko radhi afanye mapenzi sirini ili machoni pa watu wamjue yeye ni mlokole, anasahau anayemtumikia (Mungu) anaona kila kona hata akifunga mlango kwa nje. pole kaka angu amua moja kuliko kuwa mtumwa wa mapenzi
 
zekielboaz;2029056]Mchumba wangu hataki niendee kumutembelea kituo chake cha kazi. Kadai kaokoka hivyo anaogopa watu, hususan watawa waliopo maeneo hayo.tumeshawahi kupractice sex for many days.kwa ktumia nguvu nilienda kwake, cha ajabu nilifungiwa mlango mpaka siku natoka, hakuniruhusu hata kidogo kuona jua.yeye akiondoka alikuwa anafunga mlango. Nisaidien wadau inaniuma sana. NASHINDWA KUELEWA KAMA AMEMPATA MWINGINE AU LAA_UCHUMBA UNA MDA WA MWAKA MMOJA NA NUSU. THIS IS TRUE I AM NOT JOKING LADIES AND GENTLEMEN[/QUOTE]
hayo sio mapenzi wangu! Nitafute at amos_rupia@yahoo.com
 
Mchumba wangu hataki niendee kumutembelea kituo chake cha kazi. Kadai kaokoka hivyo anaogopa watu, hususan watawa waliopo maeneo hayo.tumeshawahi kupractice sex for many days.kwa ktumia nguvu nilienda kwake, cha ajabu nilifungiwa mlango mpaka siku natoka, hakuniruhusu hata kidogo kuona jua.yeye akiondoka alikuwa anafunga mlango. Nisaidien wadau inaniuma sana. NASHINDWA KUELEWA KAMA AMEMPATA MWINGINE AU LAA_UCHUMBA UNA MDA WA MWAKA MMOJA NA NUSU. THIS IS TRUE I AM NOT JOKING LADIES AND GENTLEMEN
Hapa ndipo makosa mengi yanapofanyika. Hivi kuwa wachumba mpaka mfanye hivyo? Si msubiri muda utakapofika kama kweli una nia hiyo?
 
Hapa ndipo makosa mengi yanapofanyika. Hivi kuwa wachumba mpaka mfanye hivyo? Si msubiri muda utakapofika kama kweli una nia hiyo?
Wewe ulisubiri?
 
akirudi baada ya kukufungia anakupa uroda au? maana kama kweli kaokoka sidhani kama atakupa.
changanya makongoro utambae.
 
kwanini asikutambulishe kwa wazazi wake na kanisani kwak as mchumba wake?au hairuhusiwi?
 
akirudi baada ya kukufungia anakupa uroda au? maana kama kweli kaokoka sidhani kama atakupa.
changanya makongoro utambae.
Ndio manake, kweli mwanaume uvumilie mateso ya kifungwa hayo bila tundi?
 
Back
Top Bottom