ezekielboaz
Member
- Jan 16, 2010
- 11
- 1
Mchumba wangu hataki niendee kumutembelea kituo chake cha kazi. Kadai kaokoka hivyo anaogopa watu, hususan watawa waliopo maeneo hayo.tumeshawahi kupractice sex for many days.kwa ktumia nguvu nilienda kwake, cha ajabu nilifungiwa mlango mpaka siku natoka, hakuniruhusu hata kidogo kuona jua.yeye akiondoka alikuwa anafunga mlango. Nisaidien wadau inaniuma sana. NASHINDWA KUELEWA KAMA AMEMPATA MWINGINE AU LAA_UCHUMBA UNA MDA WA MWAKA MMOJA NA NUSU. THIS IS TRUE I AM NOT JOKING LADIES AND GENTLEMEN