More Chances
Senior Member
- Jun 24, 2022
- 151
- 344
Wewe ushaziweya kutumwaa ndio maana yake na hupendi kujituma hupendi kuwa huru.Kumbe tatizo la vijana wengi sio kukosa mtaji. Tatizo ni ukosefu wa maarifa ya biashara. Hili tatizo linaanzia utotoni kwenye malezi ya wazazi. Mama mkwe wangu maisha yake yote ni biashara. watoto wake akiwemo mke wangu wamekulia sokoni. Wife aliniomba laki mbili afanye biashara. Amestawi Sana kwenye biashara yake. Lakini Mimi nina elimu ya chuo kikuu, nimeajiriwa nakopesheka mtaji ninao lakini chakufanya sikioni.
Kwanza upo mkoa gan ili upewe muongozo nn chakufanya au nn uskufanye kutokana na mazngra uliopoHabari wakuu
Mimi ni kijana wa kiume age 29
baada ya michongo kwenda vibaya
nikashauriwa kuvungua duka la mangi kwa mtaji wangu milion 4
nikatafuta frame ya mtaani nikapata
ila issue ni kwamba kila
nikikaa na kuwaza naona kama sina mapenzi kabisa na hii biashara na kodi nshalipa , nishaurini deal za kupiga hata huko masokoni wakuu
Ukiendekeza hisia kwenye biashara basi ujue bado hujakomaa kibiashara,, mfanya biashara anakuwa makini na mahesabu deal na faida sambamba namuda, mfanya biashara huwa anapenda biashara inatakayo mlipa kwa muda fulani, ukiwa kama mfanya biashara unatakiwa uwe na macho ya kuona mbele, mfanya biashara anaweza kufanya biashara ya kawaida lakini anakuwa ameona mbeleni hiyo biashara haitakuwa ya kawaida, Aliko Dangote ni mfanya biashara mwenye mafanikio makubwa sana lakini mafanikio yake yametokana na uwezo wake mkubwa wa kuona fursa, sio kwa sababu alipenda kitu fulani, mfanya biashara unatakiwa kupenda biashara yenye faida,,Habari wakuu
Mimi ni kijana wa kiume age 29
baada ya michongo kwenda vibaya
nikashauriwa kuvungua duka la mangi kwa mtaji wangu milion 4
nikatafuta frame ya mtaani nikapata
ila issue ni kwamba kila
nikikaa na kuwaza naona kama sina mapenzi kabisa na hii biashara na kodi nshalipa , nishaurini deal za kupiga hata huko masokoni wakuu
Dr Hapo umesema soko lina siri kubwa sana na hata msingi wake sio mkubwa lkn vijana wavivu hawataki kufanya kaziii.Kila biashara inatoa Ila anzia sokoni na utafute MTU aliyetoboa tayari akucholee ramani au awe mentor wako
Ukifatisha maoni ya watu walioshindwa kutoboa utachanganikiwa Sana.
Anzia sokoni , usome mchezo then invest .
Sasa kama ulishauriwa kufungua duka la Mangi, na ukafikia mpaka hatua ya kulipia fremu! Na bado umegundua huna mapenzi na hiyo biashara; huoni ni wakati wako sasa wa kuiamini nafsi yako, na hivyo kufanya ile biashara utakayoipenda!!Habari wakuu
Mimi ni kijana wa kiume age 29
baada ya michongo kwenda vibaya
nikashauriwa kuvungua duka la mangi kwa mtaji wangu milion 4
nikatafuta frame ya mtaani nikapata
ila issue ni kwamba kila
nikikaa na kuwaza naona kama sina mapenzi kabisa na hii biashara na kodi nshalipa , nishaurini deal za kupiga hata huko masokoni wakuu
Ukiendekeza hisia kwenye biashara basi ujue bado hujakomaa kibiashara,, mfanya biashara anakuwa makini na mahesabu deal na faida sambamba namuda, mfanya biashara huwa anapenda biashara inatakayo mlipa kwa muda fulani, ukiwa kama mfanya biashara unatakiwa uwe na macho ya kuona mbele, mfanya biashara anaweza kufanya biashara ya kawaida lakini anakuwa ameona mbeleni hiyo biashara haitakuwa ya kawaida, Aliko Dangote ni mfanya biashara mwenye mafanikio makubwa sana lakini mafanikio yake yametokana na uwezo wake mkubwa wa kuona fursa, sio kwa sababu alipenda kitu fulani, mfanya biashara unatakiwa kupenda biashara yenye faida,,
Kama biashara yako ya duka inakulipa unatakiwa ukomae lakini pia uwe una mitazamo ya kukua kibiashara kama huna akili ya biashara wee nenda tu katafute ajira ukilazimisha sana kufanya biasha kwa mihemko utalia sana mkuu,,
Kiwango chako cha kufanya biashara kina pimwa kwenye uwezo wa kuona fursa na bidii na subira, kaa chini fikiria vizuri ni fursa gani unaweza kuwekeza
Kama huoni fursa mimi naweza kukushauri lakini pia naweza kukupa orodha ya fursa zilizopo hapa Tanzania ni nyingi sana sana mkuu huo mtaji wako ni mkubwa sana kiasi kwamba unaweza kuanzisha hata kampuni, mimi naona fursa nyingi sana ingawa kwangu mimi natamani kufanya project kubwa, lakini sina mtaji kwahiyo nimeanza na biashara ndogo ila wewe hiyo 4M naitamani sana mkuu ningekuwa nayo mimi [emoji23][emoji23]
Huyo jamaa sidhani kama anayo elimu ya kutosha kwenye biashara, anahitaji mifano mingi sana ili akae samaSasa kama ulishauriwa kufungua duka la Mangi, na ukafikia mpaka hatua ya kulipia fremu! Na bado umegundua huna mapenzi na hiyo biashara; huoni ni wakati wako sasa wa kuiamini nafsi yako, na hivyo kufanya ile biashara utakayoipenda!!
Unaweza kushauriwa kufanya biashara ya kuuza samaki! na wakati hapo ulipo hakuna mto, ziwa au bahari!! Fanya biashara yoyote ile inayoendana na mtaji na pia wateja wako.
Si bure tiyari ushapigwa kidude(kurogwa).Habari wakuu
Mimi ni kijana wa kiume age 29
baada ya michongo kwenda vibaya
nikashauriwa kuvungua duka la mangi kwa mtaji wangu milion 4
nikatafuta frame ya mtaani nikapata
ila issue ni kwamba kila
nikikaa na kuwaza naona kama sina mapenzi kabisa na hii biashara na kodi nshalipa , nishaurini deal za kupiga hata huko masokoni wakuu
Acha utapeli katafute kaziKwauhitajaji wa odds 1.30 kila siku iendayo kwamungu njoo tukae kiofisi lifanyike hilo.utaweza kuingiza zaidi ya elfu50 kwasiku.
Ila kosa kubwa nikutaka hela nyingi uwe tajiri haraka.bali utalidhika nahiyo hiyo faida tuu kila siku.
Ukiwa tayari chukua namba hapo profile picture.