More Chances
Senior Member
- Jun 24, 2022
- 151
- 344
- Thread starter
- #21
Story gan mkuu? au tudalalie hizo nyumba?Njoo hapa Manzese tupige story na hawa wazawa wenye nyumba za urithi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Story gan mkuu? au tudalalie hizo nyumba?Njoo hapa Manzese tupige story na hawa wazawa wenye nyumba za urithi
Acha utapeli katafute kazi
hatar kweliSi bure tiyari ushapigwa kidude(kurogwa).
Waswahili viumbe khatar sana.
Mimi naweza kutaja fursa hapa lakini natakiwa kujua malengo ya mtu mwenyewe, nitamshauri fursa na project kubwa kubwa kumbe yeye interest yake siyo international entrepreneur au sio kuwa national level kuna wengine hawana mambo mengi wanataka kufanya biashara ili apate tu hela ya kulaSasa hizo fursa umeona Tanzania mbona husemi, ama mpaka tukufuate pm?
Mimi naweza kutaja fursa hapa lakini natakiwa kujua malengo ya mtu mwenyewe, nitamshauri fursa na project kubwa kubwa kumbe yeye interest yake siyo international entrepreneur au sio kuwa national level kuna wengine hawana mambo mengi wanataka kufanya biashara ili apate tu hela ya kula
Sasa mtu anayetaka afanye biashara ya kumudu familia yake, atafute location afungue bucha, mgahawa, biashara ya vipodozi, ufugaji wa kuku na nguruwe wa kisasa, ufungue saloon za kike na za kiume, biashara za viungo vya kwenye vyakula hasa akiwa maeneo ya dar mfano kuuza tangawizi, pilipili aina zote, karoti n.k, kuuza vyakula kama mihogo hasa kwa hapo Dar, kusambaza products toka kwenye makampuni mbalimbali, kufungua duka la simu mikoani yani nje ya Dar, kufanya biashara za mazao toka nje ya nchi kuja TZ au kutoa Tz kupeleka nje mfano soya, karanga, mahindi, n.k kufanya biashara ya mitumba mikoani hasa mikoa ambayo bado haijachangamka wewe ndio uwe mtu wa kuichangamsha, biashara ya vyombo hasa maeneo ya mijini, biashara za mitandaoni hasa kuuza vitabu kwenye platforms mbalimbali ikiwemo E-books n.k lakini pia kutoa huduma za free internet, kuanzisha kumbi za starehe na kumbi za kuonesha mipira n.k, kuuza vinywaji maeneo yenye high population na shughuli nyingi, nazingine nyingi
NB: trading is a risk 🥲 can lead to loss of your capital
shikamoo mkuuMimi naweza kutaja fursa hapa lakini natakiwa kujua malengo ya mtu mwenyewe, nitamshauri fursa na project kubwa kubwa kumbe yeye interest yake siyo international entrepreneur au sio kuwa national level kuna wengine hawana mambo mengi wanataka kufanya biashara ili apate tu hela ya kula
Sasa mtu anayetaka afanye biashara ya kumudu familia yake, atafute location afungue bucha, mgahawa, biashara ya vipodozi, ufugaji wa kuku na nguruwe wa kisasa, ufungue saloon za kike na za kiume, biashara za viungo vya kwenye vyakula hasa akiwa maeneo ya dar mfano kuuza tangawizi, pilipili aina zote, karoti n.k, kuuza vyakula kama mihogo hasa kwa hapo Dar, kusambaza products toka kwenye makampuni mbalimbali, kufungua duka la simu mikoani yani nje ya Dar, kufanya biashara za mazao toka nje ya nchi kuja TZ au kutoa Tz kupeleka nje mfano soya, karanga, mahindi, n.k kufanya biashara ya mitumba mikoani hasa mikoa ambayo bado haijachangamka wewe ndio uwe mtu wa kuichangamsha, biashara ya vyombo hasa maeneo ya mijini, biashara za mitandaoni hasa kuuza vitabu kwenye platforms mbalimbali ikiwemo E-books n.k lakini pia kutoa huduma za free internet, kuanzisha kumbi za starehe na kumbi za kuonesha mipira n.k, kuuza vinywaji maeneo yenye high population na shughuli nyingi, nazingine nyingi
NB: trading is a risk 🥲 can lead to loss of your capital
Ndio namaanisha matarajio ya mtu ni yapi? Huwezi kumshauri afungue duka la simu huku kijijini ikiwa anataka kuwa mfanya biasha wa mataifa, yaani huwezi kumwambia mtu afungue library ikiwa ana mitazamo ya kushindana na MO au BakhressaProject kubwa kubwa?
dsmKwanza upo mkoa gan ili upewe muongozo nn chakufanya au nn uskufanye kutokana na mazngra uliopo
Nimeutafuta mbona haupatikani nitumie Pm kama unaoPitia Uzi wangu was "umuhimu wa elimu ya ujasiriamali, biashara na fedha kuongeza kipato na kumaliza usikini Tanzania" huu Uzi unamadini sana mana wafanyabiashara wengi huwa wanakurupuka kufanya biashara na mwishoni wanaangukia pua, kama ulivyofanya wewe kukodi fremu bila kuana motisha au usukumo ba biashara hiy
Bona Lewo ugagibu kwa kiha!?Tuliza akili Mkuu, unaweza pata pesa nyingi zaidi kwa mtaji huo
Mkuu unafanya biashara Gani hapa mjini tafadhali.Pitia Uzi wangu was "umuhimu wa elimu ya ujasiriamali, biashara na fedha kuongeza kipato na kumaliza usikini Tanzania" huu Uzi unamadini sana mana wafanyabiashara wengi huwa wanakurupuka kufanya biashara na mwishoni wanaangukia pua, kama ulivyofanya wewe kukodi fremu bila kuana motisha au usukumo ba biashara hiy
HeheheKaanga chips, narudia tena kaanga chips baasi
Wazee wa Mombasa mshafikaHehehe
na yeye lazima awe na biashara sio?Mkuu unafanya biashara Gani hapa mjini tafadhali.
Nadeal na kudesign box aina zote na vifungashio kama mifuko ya lishe nkMkuu unafanya biashara Gani hapa mjini tafadhali.