usiwe mkali mtaka cha uvunguni........Mingi kivipi. Bado nafanya kazi,, we unakutaka kwa nini nikikokuwa nafanya kazi, hayo ni personal niachie mimi.We jibu kama msaada ulivoombwa kama hujui na huna jibu kaa kimya.
nauliza swal je we uko mkoa gani? prvate hapa dar zpo nyng swali uloulzwa mwanzo nikutaka kuepusha kukurudisha kwenye shule uliopo. na ku, mfano. nyoko sec school iko da bila kujua uliko kwa sasa ntakushauri uende hapo. kumbe ungekubali kusema kwa sasa unafundisha hapo pengne ungepata ushaur tofaut. mfano ningekushaur u2me cv yako jinyee sec. ambayo iko dar. una haiba?