Naomba ushauri shule zipi nipeleke job application- teaching

Naomba ushauri shule zipi nipeleke job application- teaching

Syakafwa

Member
Joined
Nov 30, 2012
Posts
10
Reaction score
1
Nina diploma ya education masomo ya histoy na geography. nina experience ya miaka 6, nataka shule zilizopo dsm. Ziwe private school, primary school au secondary haijalishi. Naomba msaada wenu shule zipi naweza kuanza nazo kuwapelekea cv ?
 
ulikuwa unafanya wapi kabla,maana miaka sita ni mingi
 
Nina diploma ya education na uzoefu wa miaka 6. Natafuta shule za private zilizopo dar primary ama secondary haijalishi. shule zp naweza nikaanza nazo ?. Masomo ni History and Geography
 
Mingi kivipi. Bado nafanya kazi,, we unakutaka kwa nini nikikokuwa nafanya kazi, hayo ni personal niachie mimi.We jibu kama msaada ulivoombwa kama hujui na huna jibu kaa kimya.
 
Mingi kivipi. Bado nafanya kazi,, we unakutaka kwa nini nikikokuwa nafanya kazi, hayo ni personal niachie mimi.We jibu kama msaada ulivoombwa kama hujui na huna jibu kaa kimya.
usiwe mkali mtaka cha uvunguni........
 
Acha uvivu wa kufikiri. Shule usome wewe sisi tukufanyie utafiti? Hii ndiyo taabu ya watu wengine. Unayetaka kusoma au kusomesha wewe sisi tunahusikaje? Go do research yourself instead of wasting time asking people you don't even know.
 
ndugu sisomi na wala sisomeshi. I want to teach.Dont assume that all jf members dwells at dsm. Aliyepo dar atakukuwa na idea ni shule zip kama nilivoomba msaada. Labda kidogo hukuelewa nilichosema. Unataka nitoke huku niliko nije nifanye research ya shule huko dar. ok its fine
 
Jamaa mleta uzi mkali kweli hadi anatisha wewe umeulizwa wajue wataanzia wapi kukushauri,au unataka ushauri wa ghafla usio na tija?
 
Tafuta mliosoma nao chuo ambao wako Dar Private, watakuongoza
 
unataka ushauri ama unataka ugomvi mwalimu wa Diploma mwenye uzoefu wa miaka sita? funguka. zaidi ya UKALI/UGOMVI sifa gani tena unayo mwalimu mwenzangu ili nikushauri upeleke CV yako
 
Jamaa mkali, labda ana mkopo kwenye salary yake anapokea hata 30000 anataka akimbilie private tu.
 
nauliza swal je we uko mkoa gani? prvate hapa dar zpo nyng swali uloulzwa mwanzo nikutaka kuepusha kukurudisha kwenye shule uliopo. na ku, mfano. nyoko sec school iko da bila kujua uliko kwa sasa ntakushauri uende hapo. kumbe ungekubali kusema kwa sasa unafundisha hapo pengne ungepata ushaur tofaut. mfano ningekushaur u2me cv yako jinyee sec. ambayo iko dar. una haiba?
 
mmhh! Kazi ipo!
 
Back
Top Bottom