Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Habari zenu.
Iko hivi Kuna muda naweza nikawa naifanya kazi fulani ingawa nalipwa vizuri Ila Sina furaha kabisa pamoja kuwa nalipwa hela nzuri kulingana na mishahara ya hapa tz.
Sasa bwana Kuna kazi nikiwa nalipwa kidogo ama hata nisipolipwa nakuwa naenjoi kinyama mno yaani mno kuifanya.yaani napotatua iyo shida Mana kazi huwa Ni kutatua tatizo ninayokuwa nayo Ni kubwa mno.
Yaani smt my happiness isn't tied to money.
Naombeni ushauri both positive and negative Mana huwa Kuna hasi na chanya I know it. Am really prepared for negative ili ikitokea no more pains,let me /visualize or immunize my DNA or my mind so that no emotions when it comes for me.
Hili suala lanitokea mie pekee ama Ni kwa wote linawatokea.