Naomba ushauri sisi watu wenye Akili nyingi nchi gani inatufaa kuishi na kufanikiwa ?

Naomba ushauri sisi watu wenye Akili nyingi nchi gani inatufaa kuishi na kufanikiwa ?

USA, Malaysia, China, Uk, Russia, Korea kusini,Japan, Singapoor.
Singapoor wanakupa uraia bure kama ni mtu mwenye akili sana.
USA wana special VISA. Einstein Tesla, Elon, Jeff Bezo nk walitumia hio loop hole leo ni Most known/ popular people.
Usichelewe mkuu. Bongo ni ya wasio na akili au wale akili zipo likizo ndio inafaa kuishi hapa.
Bongo usije kutarajia chochote cha matumizi ya akil, TZ akili hazitumiki zipo likizo, japo kuna wajinga wanajifanya wanatumia akili ,uongo mtupu.
Kwa Africa sogea SA au Egypt au Kenya, Botswana na Nigeria. Hizi nchi matumizi ya akili yapo japo si kwa kiasi kikubwa.
Imagine Dangote angekuwa mbongo, huo ni mfano mdogo tu.
 
Nauliza , kuna nchi gani inatufaa sisi great thinkers kuishi na kufanikiwa?
Kuna mtu anajua na anajua kuwa anajua huyo ni wa kufuatwa, halafu kuna mtu anajua lakini hajui kama anajua huyo anatakiwa kuzinduliwa, sasa kuna mtu hajui na hajui kama yeye hajui huyo mumuogope na mkae naye mbali.
 
Mtu mpumbavu tu ndiye hudhani anaakili nyingi. Kama huamini angalia hata shule. Wale miamba walioamini hawana cha kujifunza kutoka kwa wengine ila wao ndo wanapaswa kufundisha wengine mwisho wa siku walifeli.
yaah ni kweli naliona hili
 
Back
Top Bottom