Naomba ushauri, uume kushindwa kusimama


Hapo kwenye usafi umenena
 
Hapo kwenye usafi umenena

Mkuu usafi ni muhimu sana nyote mkiwa wasafi kwanza huleta hamu ya kufanya mapenzi afu hata mnapomaliza mzunguko wa kwanza na mingineyo hakikisheni mnajifuta na kitambaa safi na sio mashuka na mnapomaliza kabixa shughuli mnaoga then mnakuwa safiii kabisa..!
 
Acha kujichua au punyeto inasababisha misuli kulegea na kufanya uume usinyae na kulala mapema,jiepushe na kukaa alone,usiangalie video za ngono,kula tangawizi,asali,supu ya pweza,pendelea kutafuna mihogo mibichi na mchele mara moja moja inasaidia kua na stock ya sperm nyingi,pia bamia chemsha kula,halafu kuna jinsi ya kutibu misuli ilolegea
 
Sasa iyo misuli unastamilisha vp yani. Jomon
 
Mara nyingi nikipiga bao la kwanza napumzika karibu nusu saa ndo napata uwezo wa kuendelea na round nyingine, kwa maana kuwa baada ya bao uume unalala mpaka nusu saa ndio unasimama tena.

Naomba ushauri wenu, nifanyeje?
Nisikilize kwa makini na wote wanaofuatilia uzi huu,iko hivi,mwanaume kuendelea au kufanya vizuri kunategemea pia na mwanamke anafanya vipi majukumu Yake nje ya zakari ikiwa ndani ya kipochi chake,Kiukweli wanawake wengi hawajua namna ya kuwarudisha wanaume roundi zingine baada ya goli la kwanza sasa mwambie mpenzi wako akufanyie kitu hiki,Kila mwanaume anamstari unao anzia mkunduni hadi kwenye kichwa cha uume eneo hilo ni very sensitive natumia kiinglishi kwa msisitizo,mwambie mpenzi wako Akushikeshike huo mstari unaounganisha mkunduni na sehemu ya uume akigusa tu huo mstari Mara mbili au tatu utaanza upya kabisa wala njia hii aipelekei MTU kuwa shoga
 
Dah....wengine kunywa bia moja kwa saa moja wakaridhika..... Wengine hunywa bia 10 haraka haraka wakaridhika.....wengine hadi wakeshe baa ndiyo wanaridhika.....ndiyo raha ya pombe[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…