Naomba ushauri wa aina ya bati ya kuchaguala?

Kama hujaanza kujenga usiweke bati juu. Mimina zege juu kama unajenga ghorofa juu. Huko juu unakua unapumzika huku unakunywa bia usiku.
Nyumba amejengea tofali za nchi 5, halafu haina nguzo hata moja, akiweka zege juu litashikiliwa na nini?
 
Nyumba amejengea tofali za nchi 5, halafu haina nguzo hata moja, akiweka zege juu litashikiliwa na nini?
Hahahaha, ndio maana nikamwambia kama hajaanza kujenga ajenge tu mfumo wa kigorofa ila juu asiendeleze nyumba aweke zege nzito tu. Maana ukipiga hesabu kupaua juu ukitumia 15 milion. Hii hela mbona inatosha kupiga zege juu ambapo ukimaliza unabakia kuskim tu
 
Naomba kujua bei ya alaf gauge 30 migongo midogo kwa sasa.
 
Pamoja na sunshare gauge 30 migongo midogo
 
Hapo kwenye bati panatia hasira sana mkuu mimi nataka niezeke kwa maturubai kisha nihamie maana pesa imekata kwenye boma na hela ya kuendelea kulipa kodi sina
 
Hapo kwenye bati panatia hasira sana mkuu mimi nataka niezeke kwa maturubai kisha nihamie maana pesa imekata kwenye boma na hela ya kuendelea kulipa kodi sina
acha tu mkuuu yan napambana sanaa ila wapi ngoma haiendi kabisaaaa
 
Ando hana mpinzani mkuu japo bei kachangamka
 
Wanauzaje kwa pisi 1 ya mita 3? Za rangi?
Dooh Kwa sasa sijui ila Kuna nyuzi current humu zimetoa price na namba za mawakala tafuta mimi umepita karibu mwaka na nusu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…