Naomba ushauri wa gari aina ya Mitsubish Outlander na Ford Rangers

Naomba ushauri wa gari aina ya Mitsubish Outlander na Ford Rangers

Habari !!naomba ushauri wa magari aina ya Mitsubishi outland na ford rangers juu ya matumizi ya mafuta, upatikanaji wa spea na mengine kama nitakua nimeyaacha.

Nawakilisha

Hizi gari mbili zisizoringanishika
 
Back
Top Bottom