Hata ukiwekeza kwenye simu kali bado utaonekana uko serious na kazi yako na utafanya kazi yako kwa haraka zaidi tofauti na ukitumia Camera.Ila kamera naamini inaweza ikawa na picha kali zaidi ya simu
Hiyo napata mpya au usedBwana BANGO JEUPE mie nnaungana na Mad Max kupendekeza kamera za NIKON maana ndiyo ninayotumia.
Wanasema kama unapenda video chukua Cannon.
Na kama unapenda picha tu chukua NIKON.
Na kama uwezo upo basi kuna ambazo zipo na uwezo wa picha na video kama hii D7500(ilikiwa 2.5M) ni wewe tu kuchagua
View attachment 2941716
Hii imekaa kimkakati zaidi kama simu inatosha kwa ubora Ninaoutaka acha nijipangeHii ni imani tu. Kwa kiwango simu zilipofikia. Ukichukua simu unakuwa umepata 2 in one.
Ni nzuri kwa maana ya utility
Camera yenyewe ni kama una mapenzi ya kumiliki pia kamera kama hobby pia.
KWa kazi yako ukipata simu kali inatosha
Hapa nijipange mkuu napenda sana picha yaani ukinipita kwenye picha sina Aman kabisaHata ukiwekeza kwenye simu kali bado utaonekana uko serious na kazi yako na utafanya kazi yako kwa haraka zaidi tofauti na ukitumia Camera.
Tafuta pesa tuu ununue simu kali achana na cameraHapa nijipange mkuu napenda sana picha yaani ukinipita kwenye picha sina Aman kabisa
Ushauri huu inaonekana ndo the best watu mnaona mbaliKwa kazi hiyo sidhani kama unahitaji kamera. Nadhani ungetafuta tu simu yenye uwezo mkubwa wa kamera. Samsung s series kuanzia 21 plus au ultra, pixel kuanzia 7 au iphone kuanzia 13
Hapo mkuu kwa IPhone 15pro max niandae Bei Gani Ikiwa mpyaTafuta pesa tuu ununue simu kali achana na camera
Bei Sijajua mkuu, ila ushauri wangu nenda na simu za android mana zitakupa wigo mpana kufanya mambo yako tofauti na IOS. Samsung S23 S24 pixel 7 8 n.kHapo mkuu kwa IPhone 15pro max niandae Bei Gani Ikiwa mpya
Mwezi wa 5 mkuuPixel 8A Inatarajiwa kutoka lini mkuu
Naona wadau wengi wanashauri IPhoneChukua iPhone 13Pro Max kama uko vizuri ina cinematic mode na picha nzuri, hyo Google pixel 7Pro au 8A uongo mkuu.
Hapo kwenye android Sipingani na ww mkuu maana hao IOS Sijawahi kuwaza nasikia wana zuia baadhi ya apps na mimi apps zangu nyingi sio OfficialBei Sijajua mkuu, ila ushauri wangu nenda na simu za android mana zitakupa wigo mpana kufanya mambo yako tofauti na IOS. Samsung S23 S24 pixel 7 8 n.k
Naona wadau wengi wanashauri IPhone
Vipi kuna trick ya kuweza kutumia unauthorized apps mfano GBWATSAP,?
Maana nasikia wana apps zao
Pixel gani mkuu inayozidi 13 pro max mashine ya cinemaxGoogle pixel mchawi