Naomba ushauri wa Kisheria katika hili, nataka nivunje uchumba na huyu mwanamke

Naomba ushauri wa Kisheria katika hili, nataka nivunje uchumba na huyu mwanamke

Kama anamsikiliza mama yake bhasi bwagaa tuu mzeee... Hamna cha sheria wala nini
siwezi kukomaa naye kwa kuwa yeye anasikiliza maelekezo ya mama yake na sio yangu,yeye alitakiwa asimame na mimi ukizangatia wazazi wake walishachukua mahari,
 
Mmmh...!! Hii kalii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe unawasikiliza wazazi wa demu na kufanya mambo kwa hasira ndio maana. Kama demu anakupa support ebu fanya yako na mkeo hao wakwe njaa achana naoo. Me naona mkeo hana kosaa hapo kosa ni wewe kukosa msimamo. Mara ulipe maharii...mara utake kumfukuza mkeo..
Alikuwa hana support zaid ya kulazimisha nishirikiane na familia yake, kama sikuwa tayari kushirikiana na familia yake wataendelea kugoma nisimuoe, kwa kuwa alikuwa kwangu nikamrudishia kwao,sasa hivi ananiombea nigongwe na gari nife.
 
Kama anamsikiliza mama yake bhasi bwagaa tuu mzeee... Hamna cha sheria wala ninj
Hiyo ndo sababu kuu niliyomuondoa kwangu,Angekuwa amesimama na mimi na kunisikiliza tungedumu sana.lakini alikuwa kwangu kimwili kiakili yupo kwao
 
mwanzoni nilikuwa na mtazamo kama wako,lkn baadae binti akabadilika na kusema hawezi kukubali kuolewa ikiwa sitakuwa na ushirikiano na familia yake,nikaona solution achape lapa akaungane na familia yake
Kiufupi hiyo mimba sio yako, niamini
 
siwezi kukomaa naye kwa kuwa yeye anasikiliza maelekezo ya mama yake na sio yangu,yeye alitakiwa asimame na mimi ukizangatia wazazi wake walishachukua mahari,
Hao wanataka kukugeuza dili, piga chini fastaa kwanza ashukuru umemlelea tumbo la mwanaume mwenzako
 
nimeshamrudisha kwao tayari kwa kuwa mzazi wake aligoma kutoa ruhusa kwa viongozi wa dini,wasitufungushe ndoa,kwani aliona kama anamuuza mtoto wake kwa sababu mahari yote ilipelekwa kwa wakati mmoja na yote,na wao walitaja mahari kwa minajili ya kunikomoa,
Basi subiri mwana umlee, Maisha yaendelee..
 
Basi subiri mwana umlee, Maisha yaendelee..
hiko ndo nachofanya kwa sasa,nimeanza kumuhudumia tangu mimba ikiwa changa mpaka imefika miezi saba na sikupenda nimrudishe kwao akiwa mjamzito,ila kwa kuwa amenigeuka kwa kufuata maelekezo ya mama yake na sio ya kwangu,nikaamua kumrudisha kwao akamsikilize vizuri.
 
Back
Top Bottom