Naomba ushauri wa Kisheria katika hili, nataka nivunje uchumba na huyu mwanamke

Kama anamsikiliza mama yake bhasi bwagaa tuu mzeee... Hamna cha sheria wala nini
siwezi kukomaa naye kwa kuwa yeye anasikiliza maelekezo ya mama yake na sio yangu,yeye alitakiwa asimame na mimi ukizangatia wazazi wake walishachukua mahari,
 
Alikuwa hana support zaid ya kulazimisha nishirikiane na familia yake, kama sikuwa tayari kushirikiana na familia yake wataendelea kugoma nisimuoe, kwa kuwa alikuwa kwangu nikamrudishia kwao,sasa hivi ananiombea nigongwe na gari nife.
 
Kama anamsikiliza mama yake bhasi bwagaa tuu mzeee... Hamna cha sheria wala ninj
Hiyo ndo sababu kuu niliyomuondoa kwangu,Angekuwa amesimama na mimi na kunisikiliza tungedumu sana.lakini alikuwa kwangu kimwili kiakili yupo kwao
 
mwanzoni nilikuwa na mtazamo kama wako,lkn baadae binti akabadilika na kusema hawezi kukubali kuolewa ikiwa sitakuwa na ushirikiano na familia yake,nikaona solution achape lapa akaungane na familia yake
Kiufupi hiyo mimba sio yako, niamini
 
siwezi kukomaa naye kwa kuwa yeye anasikiliza maelekezo ya mama yake na sio yangu,yeye alitakiwa asimame na mimi ukizangatia wazazi wake walishachukua mahari,
Hao wanataka kukugeuza dili, piga chini fastaa kwanza ashukuru umemlelea tumbo la mwanaume mwenzako
 
Basi subiri mwana umlee, Maisha yaendelee..
 
Basi subiri mwana umlee, Maisha yaendelee..
hiko ndo nachofanya kwa sasa,nimeanza kumuhudumia tangu mimba ikiwa changa mpaka imefika miezi saba na sikupenda nimrudishe kwao akiwa mjamzito,ila kwa kuwa amenigeuka kwa kufuata maelekezo ya mama yake na sio ya kwangu,nikaamua kumrudisha kwao akamsikilize vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…