Naomba ushauri wa kisheria kuhusu bima ya maisha

Naomba ushauri wa kisheria kuhusu bima ya maisha

man84

Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
18
Reaction score
13
Husika na kichwa happy juu, naomba kujua kuhusu bima ya mkopo hasa mkopaji mwenza anapofariki kwa maana mkopo unabima ya maisha lakini wakopaji ni wa wawili, mke na mme, afu afariki mke, maana tumezoea kuona mume anafariki lakin hapa mke kafariki na katika mkopo anahusika kama wakopaji wote, waga inakuaje, naomben ushauri
 
Back
Top Bottom