luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,986
Pole sana, wamekuonea sana...
Je ungekuta madini wangesema hivyo hivyo...
Pole fanya hivi andika Demand letter mu address DED kuwa akulioe gharama zako zte za kiwanja au waliamishe bomba la sivyo utawaburuza mahakamani kwa utapeli wape muda then wakizingua kawafungulie kesiHabarini za Majukumu Wadau.
Naomba msaada wenu wa ushauri kisheria kulingana na tatizo langu.
Mimi nilinunua kiwanja cha makazi vilivyo kuwa vinauzwa na halmashauri X, sikukiendeleza kile kiwanja kwa muda wa miaka kadhaa. Baada ya kujipanga na kuwa tayari kukiendeleza kile kiwanja nikagundua ile halmashauri waliniuzia KIWANJA CHA MAKAZI AMBACHO BOMBA LA MAJI LA 4INCH LIMEPITA HAPO KATIKATI ya uwanja. Nimemwandikia sana barua DED wa ile halmashauri lakini majibu yao ni yakunikandamiza mimi sababu wanataka mimi ndio ni gharamie gharama za kulihamisha ilo bomba. Gharama ya kulihamisha ilo bomba ni 5.M
Naomba msaada wenu wa kisheria Je, naweza kuwaburuza mahakaman hii halmashauri ili wagharamie izo gharama za kulihamisha ilo bomba kutoka katika kiwanja nilicho uziwa na halmashauri iyo?
*akulipe au alihamishe kwa gharama zao.Pole fanya hivi andika Demand letter mu address DED kuwa akulioe gharama zako zte za kiwanja au waliamishe bomba la sivyo utawaburuza mahakamani kwa utapeli wape muda then wakizingua kawafungulie kesi
Barua hiyo inatakiwa iandikwe na wakili ukiandika wewe lazima watapuuzaHabarini za Majukumu Wadau.
Naomba msaada wenu wa ushauri kisheria kulingana na tatizo langu.
Mimi nilinunua kiwanja cha makazi vilivyo kuwa vinauzwa na halmashauri X, sikukiendeleza kile kiwanja kwa muda wa miaka kadhaa. Baada ya kujipanga na kuwa tayari kukiendeleza kile kiwanja nikagundua ile halmashauri waliniuzia KIWANJA CHA MAKAZI AMBACHO BOMBA LA MAJI LA 4INCH LIMEPITA HAPO KATIKATI ya uwanja. Nimemwandikia sana barua DED wa ile halmashauri lakini majibu yao ni yakunikandamiza mimi sababu wanataka mimi ndio ni gharamie gharama za kulihamisha ilo bomba. Gharama ya kulihamisha ilo bomba ni 5.M
Naomba msaada wenu wa kisheria Je, naweza kuwaburuza mahakaman hii halmashauri ili wagharamie izo gharama za kulihamisha ilo bomba kutoka katika kiwanja nilicho uziwa na halmashauri iyo?
Nakushukuru mkuu kwa ushauri. WakoBarua hiyo inatakiwa iandikwe na wakili ukiandika wewe lazima watapuuza
Okay asante sanaa mkuu ngoja niji re organize nimuone mayor then DcPole sana mkuu kwa changamoto ulizozipata!
Kama una documents zote za luonesha uhalali wako wa kumiliki icho kiwanja na kimeshasajiliwa na kupimwa na kuingizwa katika ramani ya manispaa au mji,anzia kwa meya wa halamashaur au dc kuhoji ukiona wanasumbua nenda karipoti takukuru then fungua kesi kabisa mahakamani
Ulipata msaada?Okay asante sanaa mkuu ngoja niji re organize nimuone mayor then Dc
Somehow mkuu, kama unaweza kunisadia kimawazo pia itapendezaUlipata msaada?
Yes kimepimwa kabisa na hao hao halmashauri ndio wakaviuza ....so mm nilinunua ofisi kwao tukaenda site ila tukiwa site hawakuwahi sema kama pale limepit bomba la maji la ukubwa wa inch 4Je kiwanja chako kimepimwa? tuanzie hapo kwanza