Naomba ushauri wa kitaalamu: Alimeza P2 ila kashika mimba

Huyo dogo akizaliwa anastahili pongezi , MUNGU ana kusudi naye, akikua, muombeni msamaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Humu Jf wiki hili mada za mimba zisizotarajiwa hazikauki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizo dawa mnazowapa wapenzi wenu zakuzuia mimba mjiandae na vimbe tumboni.
 
Acha uzinzi wewe yani unataka utoe mimba ili iweje..kama amepata mimba wewe jiandae kulea
 
Watu wengi p2 hua zinawadissapoint ni vile hawasemi tu [emoji38]

Hii dawa inafanya kazi kw kuchelewesha ovulation,sasa kama mkikutana siku ya hatari ambayo ovulation imeshatokea p2 haisaidii kitu.
 
Ukute kakupanga kameza p2 kumbe alizitupilia mbali, mwaka wa saba huu unampanga tu humuoi katumia fursa sasa. 😀 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…