Fred Leonard
New Member
- Jan 3, 2024
- 4
- 10
Au aanze kujifunza Forex sio😃Soma kozi ya kubet uje upige pesa huku mtaani
Chuo gani hii?Soma Community Development in Water Supply.
Asante sana kwa ushauri na motivation pia🙏 hyo coz ipo chuo gani kiongoz na coz ya diplomatic and military history ina relate na hyo ulio semaFredy kama unaweza tambua kusudi la kuubwa kwako duniani, basi inakua ni bora zaidi na utafanikiwa zaidi, huko ndiko kwenye Baraka zako tele.
-Pia kuna hii Diplomacy and International affairs
Hio ya Diplomatic and military history siijuiAsante sana kwa ushauri na motivation pia🙏 hyo coz ipo chuo gani kiongoz na coz ya diplomatic and military history ina relate na hyo ulio sema
unatumia smartphone kufanyia nn mkuu? yaani mtu wa form 6 unataka kila kitu ufafanuliwe si utafute mwenyeweHabari Ndugu wana jamii forum
Mimi ni kijana niliye hitimu kidato cha sita mwaka 2024 combination ya HGL nikiwa na ufaulu wa div 1.4
ninaomba ushauri juu ya uchaguzi wa kozi kati ya
1. Political science and public administration
2.law
3. Law enforcement
4. Social work
Zinahusu nini kiundani zaidi maana sina information za kutosha kuhusiana na hizo kozi
Na pia ushauri kua nichague kozi ipi kati yahizo au kama kuna kozi nyingine nzuri mnaweza nishauri ni zipi hizo ili niweze kusoma na
kuendelea na msomo yangu..
Asante sana nasubili maoni yenu ndugu wana jamii forum 🙏
Usiposoma Shahada ya Sheria (LLB),Habari Ndugu wana jamii forum
Mimi ni kijana niliye hitimu kidato cha sita mwaka 2024 combination ya HGL nikiwa na ufaulu wa div 1.4
ninaomba ushauri juu ya uchaguzi wa kozi kati ya
1. Political science and public administration
2.law
3. Law enforcement
4. Social work
Zinahusu nini kiundani zaidi maana sina information za kutosha kuhusiana na hizo kozi
Na pia ushauri kua nichague kozi ipi kati yahizo au kama kuna kozi nyingine nzuri mnaweza nishauri ni zipi hizo ili niweze kusoma na
kuendelea na msomo yangu..
Asante sana nasubili maoni yenu ndugu wana jamii forum [emoji120]
LLB, Social work, PSPA , BALE.ninaomba ushauri juu ya uchaguzi wa kozi kati ya
1. Political science and public administration
2.law
3. Law enforcement
4. Social work