Naomba ushauri wa kozi ya kusoma

Acha na hayo mambo mengine kasome LAW. Tena apply UDSM au mzumbe
 
Pole sana, nahofia naweza kukutajia kozi ambazo siyo chaguo lako au siyo unazopenda eti Kwa kuwa tu Zina fursa Fulani...Naamini ulizotaja ndiyo unazopenda hivyo basi tembea na Law nenda Mzumbe au Jalalani (udsm).
 
Nenda veta kajifunze ufundi hizo kozi utajikuta upo mtaani huna ajira na huna ujuzi mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…