Naomba ushauri wa kupata simu ya nzuri za iPhone

Kwanini utumie simu ya zamani mkuu, nunua simu ya mwaka huu yenye specs kali kwa bei ya wastani, nenda kwa Xiaomi Redmi Note 10 au ongeza pesa kidogo uchukue Redmi Note 10 Pro, kamera kali 64MP/128MP, screen kubwa 6.7'' SuperAmoled, Snapdragon.....
Wanataka iPhone hao. Sisi wazee wa Android acha tuenjoy simu nzuri kwa bei rahisi tu.
 
Hahah kweli mkuu kumbe notch inatusumbua wengi. Watafute namna ya kuwek indispaly sensor za hii face ID tupambane tuchukue vyuma, nahis hiyo inayokuja 13 maybe au
 
Hahah kweli mkuu kumbe notch inatusumbua wengi. Watafute namna ya kuwek indispaly sensor za hii face ID tupambane tuchukue vyuma, nahis hiyo inayokuja 13 maybe au
apple huwa ana misimamo ya kindezi,anawajua wateja wake.

iphone 13 itapunguzwa urefu wa notch tu haitaondolewa.
 
Kwanini utumie simu ya zamani mkuu, nunua simu ya mwaka huu yenye specs kali kwa bei ya wastani, nenda kwa Xiaomi Redmi Note 10 au ongeza pesa kidogo uchukue Redmi Note 10 Pro, kamera kali 64MP/128MP, screen kubwa 6.7'' SuperAmoled, Snapdragon.....
Si nasikia hzi simu hazipatikan bongo kirahis?
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nimecheka sana aisee
 
Bro ulikua unatumia Bajaji alaf unanunua V8 unashangaa liko faster? Nunua Android ya bei kubwa uone kma iko slow kma hzo itel
Hahahahah android za Spec kubwa nimetumia mkuu ila kwa wepesi iOS ni nyepesi sana
 
Hio simu asijaribu ni simu nzuri kwa utendaji ila haina ufanisi hata upande wa battery na charging nilimchukulia Mshua namie nikachukua 6S! Hii yangu 6S ina uvumilivu kuliko 7 ile ya mzee japo zote utachaji mara 3 per day
 
3times per day???
 
Kwa mie natumia simu masaa 22 kwa siku lazma nichaji mara 3-4 thru the day
Hapo sawa.Ila umeniingiza mkenge.kwamba unalala masaa 2?Siyo 2 kwanza bado hujala na kuoga au unafanya yote hayo ukiwa unatumia sim?🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…