edinajailos
Member
- Oct 2, 2012
- 22
- 18
tatizo upo frustrated kwa kutokuwa na mtoto ndio maana unakuja kusema hapa jamii forums badala ya kumwambia mumeo, pia inaonekana kana kwamba haupo free kumweleza mumeo hisia zako au unamwogopa!!!Tangu nimeolewa nina miaka mitano Lakini sijabahatika kupata mtoto.Cha ajabu mme wangu anamazoea ya kunido mara moja tu kila siku(yaani round moja tu analala) ingawa naridhika je hiyo ni sawa.Na pia huwa anapenda sana kunido kwa syle ya Mbwa je hiyo nayo ni sawa kiafya.Naomba ushauri.
Iyo raund moja inachukua mda gani? Na anakuandaa mda gani?
Anyway,kama sijakuelewa vibaya wewe unataka kujua kama hiyo doggy style ina madhara yoyote kiafya;jibu ni hapana.Pili umesema despite of raundi moja, wewe unaridhika;hapo nawapeni hongera. Tatu indirectly,unataka kujua kama kuna sehemu mnakosea na pengine ndio maana hujapata mtoto mpaka sasa;hilo halina jibu hapa JF. Jibu utalipata kwa daktari baada ya kukaa mkashauriana na ukapata vipimo. Otherwise,utapata majibu ya ajabu sana hapa,ambayo mengi hayatakusaidia. Pole sana mama.
Nimeipenda hii comment
tatizo upo frustrated kwa kutokuwa na mtoto ndio maana unakuja kusema hapa jamii forums badala ya kumwambia mumeo, pia inaonekana kana kwamba haupo free kumweleza mumeo hisia zako au unamwogopa!!!
mimi na wifi yako wakati tunapokuwa tukipata hii haki ya msingi huwa nikifanya jambo ambalo mwenzangu halipendi huwa anakuwa mbunifu yeye kwa kufanya jambo lingine!! mfano ninaweza nikawa namshika maeneo fulani kama yeye hataki utaona yeye anaanzisha kitu kingine, kama stail hii haitaki pasipo kuniambia utaona yeye ananipindua so haiitaji darasa wala kuja kushtaki jamii forum wewe kuwa mbunifu na mchangafu tendo ni la wawili lazima mshirikiane.............
kuhusu mtoto nenda hospitali mkapime kuna matatizo yanayotatulika hospitali.................
pole sana dada yangu ndo maisha kumbuka kumwomba Mungu pia