Naomba ushauri wenu jamani kuhusu huyu mme wangu

edinajailos

Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
22
Reaction score
18
Tangu nimeolewa nina miaka mitano Lakini sijabahatika kupata mtoto.Cha ajabu mme wangu anamazoea ya kunido mara moja tu kila siku(yaani round moja tu analala) ingawa naridhika je hiyo ni sawa.Na pia huwa anapenda sana kunido kwa syle ya Mbwa je hiyo nayo ni sawa kiafya.Naomba ushauri.
 
Nendeni Hospitali mkajicheki kuhusiana na uzazi.

Suala la kukudo round moja per day, na kukudo kimbwambwa ni kawaida tu, huenda yeye anafaidi zaid kwa mtindo huo.
Ongea naye, na wewe umwambie stail unayopenda.
 
Kimbwambwa inaelekea ndo anakojoa haraka..na ndo ana-enjoy. Kama unaona una tindo jingine then mfahamisheee...ukija kusema jf haitosaidia..
 
kwani wewe ulitakaje? kaa nae umweleze unachokitaka
 
Tangu nimeolewa nina miaka mitano Lakini sijabahatika kupata mtoto.Cha ajabu mme wangu anamazoea ya kunido mara moja tu kila siku(yaani round moja tu analala) ingawa naridhika je hiyo ni sawa.Na pia huwa anapenda sana kunido kwa syle ya Mbwa je hiyo nayo ni sawa kiafya.Naomba ushauri.
tatizo upo frustrated kwa kutokuwa na mtoto ndio maana unakuja kusema hapa jamii forums badala ya kumwambia mumeo, pia inaonekana kana kwamba haupo free kumweleza mumeo hisia zako au unamwogopa!!!

mimi na wifi yako wakati tunapokuwa tukipata hii haki ya msingi huwa nikifanya jambo ambalo mwenzangu halipendi huwa anakuwa mbunifu yeye kwa kufanya jambo lingine!! mfano ninaweza nikawa namshika maeneo fulani kama yeye hataki utaona yeye anaanzisha kitu kingine, kama stail hii haitaki pasipo kuniambia utaona yeye ananipindua so haiitaji darasa wala kuja kushtaki jamii forum wewe kuwa mbunifu na mchangafu tendo ni la wawili lazima mshirikiane.............

kuhusu mtoto nenda hospitali mkapime kuna matatizo yanayotatulika hospitali.................
pole sana dada yangu ndo maisha kumbuka kumwomba Mungu pia
 
Anyway,kama sijakuelewa vibaya wewe unataka kujua kama hiyo doggy style ina madhara yoyote kiafya;jibu ni hapana.Pili umesema despite of raundi moja, wewe unaridhika;hapo nawapeni hongera. Tatu indirectly,unataka kujua kama kuna sehemu mnakosea na pengine ndio maana hujapata mtoto mpaka sasa;hilo halina jibu hapa JF. Jibu utalipata kwa daktari baada ya kukaa mkashauriana na ukapata vipimo. Otherwise,utapata majibu ya ajabu sana hapa,ambayo mengi hayatakusaidia. Pole sana mama.
 
Au unapenda vile anavyokufa mende? Anyway Jambo la umuhimu ni kumuona daktari
kwa hayo matatizo ya kiafya, kuhusu KIFO CHA CROC.... nafikiri kuna jukwaa la wakubwa
na mengine ni MMU.
 
nendeni hospital wote wawili mtaujua ukweli huko.
 
Anyway,kama sijakuelewa vibaya wewe unataka kujua kama hiyo doggy style ina madhara yoyote kiafya;jibu ni hapana.Pili umesema despite of raundi moja, wewe unaridhika;hapo nawapeni hongera. Tatu indirectly,unataka kujua kama kuna sehemu mnakosea na pengine ndio maana hujapata mtoto mpaka sasa;hilo halina jibu hapa JF. Jibu utalipata kwa daktari baada ya kukaa mkashauriana na ukapata vipimo. Otherwise,utapata majibu ya ajabu sana hapa,ambayo mengi hayatakusaidia. Pole sana mama.

Nimeipenda hii comment
 
Nani kakwambia amekuja kushtaki? yeye kaja kuomba ushauri, toa ushauri usepe kama hauna ushauri, shut up

tatizo upo frustrated kwa kutokuwa na mtoto ndio maana unakuja kusema hapa jamii forums badala ya kumwambia mumeo, pia inaonekana kana kwamba haupo free kumweleza mumeo hisia zako au unamwogopa!!!

mimi na wifi yako wakati tunapokuwa tukipata hii haki ya msingi huwa nikifanya jambo ambalo mwenzangu halipendi huwa anakuwa mbunifu yeye kwa kufanya jambo lingine!! mfano ninaweza nikawa namshika maeneo fulani kama yeye hataki utaona yeye anaanzisha kitu kingine, kama stail hii haitaki pasipo kuniambia utaona yeye ananipindua so haiitaji darasa wala kuja kushtaki jamii forum wewe kuwa mbunifu na mchangafu tendo ni la wawili lazima mshirikiane.............

kuhusu mtoto nenda hospitali mkapime kuna matatizo yanayotatulika hospitali.................
pole sana dada yangu ndo maisha kumbuka kumwomba Mungu pia
 
Huyo jamaa lazima atakuwa na kitambi,maana watu wenye vitambi vikubwa ujanja wao ni hapo tu akibadilishiwa style tu anachemsha.
 
pole ,miaka mitano,kabao kamoja kwa siku moja,style moja hana mtoto hata mmoja guys she is fed up of neno kamoja ,moja na mmoja
 
Kama mnafanya kila siku goli moja hii si sawa coz inasababisha sperm hazikomai yaani anapata immature sperm biologically tunaita azoospermia hizi haziwezi sababisha mimba. Hivyo ushauri ni kuwa kwa kuwa mnatafuta mtoto mnatakiwa mtime dangerous days yaani kuanzia siku ya 10 hadi siku ya 17 kama unamzunguko wa siku 28: siku nyingine msifanye tendo la ndoa ili kuacha sperm ziwe mature na ale vizuri natural food and protein food kama maharage, samaki karanga, na mboga za majani. Pia afanye mazoezi and kipindi hiki chote asiende nje ya ndoa.
Kama itashindikana hapo mwende hospital kwaajili ya vipimo vya sperm analysis na vipimo kwako pia kama HSG na vingine.
Kuhusu style hii inategemeana na wafanyaji kama unaridhika then no problem. Ila kubadilisha style inaleta flavor zaidi na hii husaidia mwanaume kutoejaculate mapema na hivyo mwanamke kufika kileleni kwa uzuri zaidi. Nakutakia mafanikio mema.
Kama vip waweza nipa mzunguko wako. Pia swali la kizushi ulishawahi kutumia njia za uzazi wa mpango?
 
Back
Top Bottom