Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mnafanya kila siku goli moja hii si sawa coz inasababisha sperm hazikomai yaani anapata immature sperm biologically tunaita azoospermia hizi haziwezi sababisha mimba. Hivyo ushauri ni kuwa kwa kuwa mnatafuta mtoto mnatakiwa mtime dangerous days yaani kuanzia siku ya 10 hadi siku ya 17 kama unamzunguko wa siku 28: siku nyingine msifanye tendo la ndoa ili kuacha sperm ziwe mature na ale vizuri natural food and protein food kama maharage, samaki karanga, na mboga za majani. Pia afanye mazoezi and kipindi hiki chote asiende nje ya ndoa.
Kama itashindikana hapo mwende hospital kwaajili ya vipimo vya sperm analysis na vipimo kwako pia kama HSG na vingine.
Kuhusu style hii inategemeana na wafanyaji kama unaridhika then no problem. Ila kubadilisha style inaleta flavor zaidi na hii husaidia mwanaume kutoejaculate mapema na hivyo mwanamke kufika kileleni kwa uzuri zaidi. Nakutakia mafanikio mema.
Kama vip waweza nipa mzunguko wako. Pia swali la kizushi ulishawahi kutumia njia za uzazi wa mpango?
kwani mtoto lazima? kula tunda mama
tangu nimeolewa nina miaka mitano lakini sijabahatika kupata mtoto.cha ajabu mme wangu anamazoea ya kunido mara moja tu kila siku(yaani round moja tu analala) ingawa naridhika je hiyo ni sawa.na pia huwa anapenda sana kunido kwa syle ya mbwa je hiyo nayo ni sawa kiafya.naomba ushauri.