Naomba ushauri wenu jamani kuhusu huyu mme wangu

Unataka msaada gani dadangu, wa styles za ku..do, ku..do mara1, au kutopata mtoto. Sioni kama kuna shida ktk hiyo ku..do (dog style+ ku..do mara1) kama wote mnaridhika na kufikishana kileleni. Kama wewe unakereka na hiyo dog style nazan ni kiasi cha kueleweshana. Nilicho"note" ktk mapenzi yenu ni kuwa wewe uko "passive" yaani mpaka mumeo ajisikie ndo mu..do. Badilika dadangu, dunia ya leo cyo kula dhambi zako zote ukimaliza funika. Tatizo kubwa ninalona ni hapo kutokupata mtoto, au mmezuia kwa makusudi i.e uzazi wa mpango. Kama sivyo wote wawili mkapime inawezeka either mmojawenu au wote ana/mnatatizo. Je, mumeo anachukuliaje hilo tatizo? Kaa chini na mumeo muongee vzr kuhusu hilo tatizo. Kumbuka mara nyingi wanaume ni vigumu sana kuelewa na wakaidi kwenda kupima. Mweleweshe taratibu, naamini atakuelewa.
 

good lesson
 
Pole sana, wanandoa wengi nyumbani huwa hakuna goli la kurudia goli ni moja tuu, kuhusiana na swala la mtoto mwende hospital mkapimwe, na pia kama kuna style unazijua funguka kwa mumeona umuonnyeshe pengine mwenzio hana ajualo zaidi ya hiyo ya kidogdog, ila nyumba zina mambo mengi sana
 
Raundi moja kama ni suala la mimba inatosha lakini pia jua wazi kama hajapata mtoto ni suala la kwenda Hosp
 

mnatakiwa kutaymu siku zenu za mapenzi. Kupiga bao moja na kulala inategemea na kazi anayo fanya mwenzio na muda anao rudi nyumbani. Iliaweze kufanya zaidi ya maramoja lazima awe amepumzika vya kutosha. Pili lazima uwe unampandisha mzuka wakati wa gemu. Sio gogo style.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…