Naomba ushauri wenu juu ya haya magari ya kutumia Umeme yaliyoingia nchini, nimeyapenda kwa mazingira ya sasa

Naomba ushauri wenu juu ya haya magari ya kutumia Umeme yaliyoingia nchini, nimeyapenda kwa mazingira ya sasa

Yaani watembea km 200 tu betri imeisha, kisha uchaji betri kwa karibu saa 10! Duh, kwa hiyo hayo masaa 10 unakuwa umepaki wasubiria betri lijae au unakuwa upo kwenye mwendo betri lajichaji automatically?!

Pengine labda itabidi uwe na betri zaidi ya moja (angalau tatu hivi) ukizingatia na umeme wetu wa kuunga unga
Unanunua power bank au unasafiri na generator
 
hii sasa ni fursa kubwa sana kwa shirika letu pendwa la Tanesco,muda huu ndio wangetumia kutuma wataalamu wake kwenda nje kujifunza jinsi mfumo huo utakavyokuwa wa kuchaji magari ya Umemena wao kuanza kuweka stand za kuchajia,tena hii fursa wakiitumia vizuri ndio litakuwa shirika lenye pesa nyingi kuliko taasisi nyingine
Tanesco wapuuzi,sio wakufanya hii kazi...bora watu binafsi wafanye hii kazi.
 
Back
Top Bottom