Naomba ushauri wenu juu ya haya magari ya kutumia Umeme yaliyoingia nchini, nimeyapenda kwa mazingira ya sasa

Hakuna kubeba zawadi za kutosha kutoka Dar maana boot inakuwa imejaa mzigo wa betri
Gari za umeme betri iko fixed. Kuitoa mpaka upeleke kwa fundi na ni shughuli hivyo ondoa wazo la kusema utatembea na betri za akiba kama tochi. Nchi zilizoendelea wanachofanya ni kuweka vituo vya kuchajia vingi njiani. Kwa mfano utoke Mwanza kuja Dar unakuta kuna vituo vingi njiani.
 
Ilikuwa jokes based on comment ya mdau juu ila kwa mantinki hiyo haya magari hayafai maana kama charge inaingia masaa ya kutosha
 
Unaanza safari kutoka dar kwenda dodoma.
Ukifika mikeese morogoro unapaki unachaji masaa 15. Unawasha unasonga mbele, ukifika pandambili-kibaigwa unapaki, unachaji masaa 15. Unawasha tena, kufika dodoma betri lina 47%.
Safari ya siku 3. Aloo
 
Ili kuepuka charging time kuwepo na vituo vya kuchajia betri yaani ukifika tu Moro unaacha betri ikichajia kwq ajili ya mwingine ajae,unachukua yenye chaji hivyo hivyo hadi unafika Mwanza. La sivyo chukua zenye mifumo miwili umeme na mafuta.
Hadi SAsa ya umeme zinafaa kwq mijini tu ukirudi usiku Inalala kwenye chaji,
 
Ilikuwa jokes based on comment ya mdau juu ila kwa mantinki hiyo haya magari hayafai maana kama charge inaingia masaa ya kutosha
Kabisa. At least sasa hivi kwa nchi yetu hayafai. Note kuwa umeme unaotumika kuchaji unatakiwa uwe mkubwa, hivyo point ya kuchajia haitakiwi iuanganishwe kwenye umeme wa nyumbani. Ukichaji na umeme wa huku majumbani kwetu itachukuwa muda mrefu mno. Ulaya kuna points maalum za kuchajia na umeme wake ni kubwa kuliko wa majumbani.
 
Unaanza safari kutoka dar kwenda dodoma.
Ukifika mikeese morogoro unapaki unachaji masaa 15. Unawasha unasonga mbele, ukifika pandambili-kibaigwa unapaki, unachaji masaa 15. Unawasha tena, kufika dodoma betri lina 47%.
Safari ya siku 3. Aloo
Unakuwa na mzigo wa betri unabadili tu unasonga
 
Kabisa. At least sasa hivi kwa nchi yetu hayafai. Note kuwa umeme unaotumika kuchaji unatakiwa uwe mkubwa, hivyo point ya kuchajia haitakiwi iuanganishwe kwenye umeme wa nyumbani. Ukichaji na umeme wa huku majumbani kwetu itachukuwa muda mrefu mno. Ulaya kuna points maalum za kuchajia na umeme wake ni kubwa kuliko wa majumbani.
Ni umeme wa three phase tu ndio unaotumika sio kwamba majumbani haupo, kwa wale wenye nyumba kubwa wanatumia huu.
 
Yaani watembea km 200 tu betri imeisha, kisha uchaji betri kwa karibu saa 10! Duh, kwa hiyo hayo masaa 10 unakuwa umepaki wasubiria betri lijae au unakuwa upo kwenye mwendo betri lajichaji automatically?!

Pengine labda itabidi uwe na betri zaidi ya moja (angalau tatu hivi) ukizingatia na umeme wetu wa kuunga unga
Afu unazieka wapi...

Battery ya kwh kadhaa labda 20,40,60 unajua uzito wake?

Ziko under floor ..battery yaweza fikia nusu tani Kama uzito
 
Nimeyakagua pale maonesho ya Sabasaba

La Mwanza ni Nissan saloon linatumia umeme 100%
Ni mtumba
Betri ikiwa full unatembea km 200
Betry inachajiwa kwa saa 8 hadi 15

Ya pili ni Toyota
Inatumia Umeme na Petrol
Lita moja ya Petrol unatembea km 25

Hawapo barabarani hayana muungurumo zaidi ya kupiga honi tu

Bei yake moja

Ushauri tafadhali lipi litafaa zaidi katika mazingira ya Tanzania

Natanguliza shukrani
Nunua lenye option mbili, ila kwa uoande wangu mm ningenunua nissan EV PURE 100 umeme lingenifaa sana
 
Niliyaona sabasaba pale.

Zuri ni lile hybrid ingawa nadhani halina automation kuswitch between mafuta na umeme.
 
Kabisa. At least sasa hivi kwa nchi yetu hayafai. Note kuwa umeme unaotumika kuchaji unatakiwa uwe mkubwa, hivyo point ya kuchajia haitakiwi iuanganishwe kwenye umeme wa nyumbani. Ukichaji na umeme wa huku majumbani kwetu itachukuwa muda mrefu mno. Ulaya kuna points maalum za kuchajia na umeme wake ni kubwa kuliko wa majumbani.
Hio ya kuchajia nyumbani ndio ya kuchukua masaa 8-10. Ila dedicated charging plant ya fast charge ni ndani ya lisaa ishajaza
 
Back
Top Bottom