macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Gari za umeme betri iko fixed. Kuitoa mpaka upeleke kwa fundi na ni shughuli hivyo ondoa wazo la kusema utatembea na betri za akiba kama tochi. Nchi zilizoendelea wanachofanya ni kuweka vituo vya kuchajia vingi njiani. Kwa mfano utoke Mwanza kuja Dar unakuta kuna vituo vingi njiani.Hakuna kubeba zawadi za kutosha kutoka Dar maana boot inakuwa imejaa mzigo wa betri