Ali take risk ambapo ni kitu cha kawaida ila alisahau ku manage risk , kinachonisikitisha zaidi ni attempts zake za mara kwa mara kujaribu kunyanguka lakini anaangukia pale pale, PROBABLY tamaa ya kupata UTAJIRI wa haraka ili atatue matatizo yake ndio kilichomgharimu ndugu yetu...Inasikitisha.
Maana huyu kasoma IFM tena banking and Finance level ya degree.
Kweli kabisa anatrade kwa mkopo?
TrueInaonekana mkuu unatatizo upande wa risk management
Wewe now unachowaza ni kurudisha pesa ulizopoteza kitu kinachopelekea utumie lotsize kubwa kuliko capital uliyonayo
Pia jifunze namna ya kutake loss usisubiri mpaka acc ikaungua
Kwenye forex hatauwe mtaalam kiasi gani, ukitumia lotsize kubwa lazima uchome acc ndio shida uliyonayo huwezi poteza dola nyingi kiasi hicho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ali take risk ambapo ni kitu cha kawaida ila alisahau ku manage risk , kinachonisikitisha zaidi ni attempts zake za mara kwa mara kujaribu kunyanguka lakini anaangukia pale pale, PROBABLY tamaa ya kupata UTAJIRI wa haraka ili atatue matatizo yake ndio kilichomgharimu ndugu yetu...
[/QUOTE physically najiona kama niko fresh yaani napanga mipango yangu fresh sema nahc emotionally siko poa bila kujijua
Sawa mwambaUlipoona elimu inakukataa ukutakiwa kulazimisha sasa umeiazimisha mwishoe imekujeuza mtumwa badala huitumikishe!
Pole sana mwamba pia achana na Hzo kamari piga kazi halali utatoboa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia zingatia LEVERAGE, Tumia Leverage ndogo ambayo itakuruhusu kufungua position chache kwa lot ndogo, hii itakusaidia sana upande wa risk management na kupunguza mihemko. Broker anaye offer Leverage kubwa usipokuwa makini kila wakati utakuwa unamchangia hela zako .True
Ndugu yngu post yako imenipa nguvu asante sana.huko kwenye FOREX sijaelewa kitu mana ni kitu ambacho hata sikijui so hata sielewi unaongelea nini, ila kikubwa kilichonigusa mpaka nikaona nisipite kimya, ni UPENDO wako kwa ndugu zako hasa MAMA yako, hongera sana kwa hilo, na kwa hilo Mungu hata kuacha hivi hivi, mark my word iko siku tu Milango yako itafunguka inaweza isiwe kupitia hiyo Forex but uko mlango mwingine pengine hujaujua bado ila upo usikate tamaa
Pia zingatia LEVERAGE, Tumia Leverage ndogo ambayo itakuruhusu kufungua position chache kwa lot ndogo, hii itakusaidia sana upande wa risk management na kupunguza mihemko. Broker anaye offer Leverage kubwa usipokuwa makini kila wakati utakuwa unamchangia hela zako .
[/QUOT
uzuri walinifata wenyewe ndy maana wanashindwa kudaikwa hiyo hakuna biashara yoyote unayoweza kuifanya zaidi ya forex? hivi kweli mmepoteza milioni 70 ya watu halafu wamewaachia tu free?
Kusikia kwa kenge mpaka atoke damu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani jamaa unamjaza mwenzako na yeye anajaa ujue.
Mbinguni huendi.
Pole pia mkuuSitasahau Mwaka 2017- 2018 ulikuwa Mwaka mchungu sana kwenye maisha yangu Baada ya kukutana na hii fursa ya forex. Nilipoteza pesa nyingi sana na muda. Nilitumia akiba ikaisha, nikauza gari labda nitarejesha hasara zangu, unapata leo profit ya $ 500 unafurahi kesho napoteza $ 2000, Mwisho gari ikaondoka, nikakopa benki dhamana nyumba, nilikopa Milion 10 pesa ikaondoka yote, Kuna shamba nilinunua huko Bagamoyo kama heka 5 nikauza kwa bei ya kutupa milion 9 nikawapa madalali Milion 1 nikabaki na 8 nikaenda, nikapigwa.
Nikafikia hatua mbaya hasa ya kuanza kuuza vyombo vya ndani, nikauza flat, nikauza set sofa nzima hahahaha jamani acheni ndugu nilichanganyikiwa. Mke ananishangaa tu. Mwisho nikasema yatosha, siwezi kuendelea kumfuraisha broker.
Bahati nzuri nilikuwa na pangale halijaisha Kigamboni, nikafanya mpango nikatafuta mteja kabla benki hawajaja kufanya yao, nikauza hii nyumba niliyokopea bei nzuri tukaenda benki Mteja(alikuwa mteja muelewa) akalipa deni la benki tukapewa hati tukaja tukamalizana. Pesa nikapeleka kumalizia pangale nikahamia nikawa nimebaki na kama milion 25 mkononi nikakimbilia kwenye korosho maana ndio ilikuwa biashara yangu kubwa, kilichotokea naamini mnakijua, Mpaka leo ninavyoandika Hapa pesa yangu haijarudi, Vitu ninavyofichukia kwenye maisha yangu kwa sasa ni Magufuli na Forex Mungu awatie lawana hawa mbwa. Leo kula yangu ya mashaka, napigania dadalala?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kumbe mimi bado sijafilisika eeeh...Sitasahau Mwaka 2017- 2018 ulikuwa Mwaka mchungu sana kwenye maisha yangu Baada ya kukutana na hii fursa ya forex. Nilipoteza pesa nyingi sana na muda. Nilitumia akiba ikaisha, nikauza gari labda nitarejesha hasara zangu, unapata leo profit ya $ 500 unafurahi kesho napoteza $ 2000, Mwisho gari ikaondoka, nikakopa benki dhamana nyumba, nilikopa Milion 10 pesa ikaondoka yote, Kuna shamba nilinunua huko Bagamoyo kama heka 5 nikauza kwa bei ya kutupa milion 9 nikawapa madalali Milion 1 nikabaki na 8 nikaenda, nikapigwa.
Nikafikia hatua mbaya hasa ya kuanza kuuza vyombo vya ndani, nikauza flat, nikauza set sofa nzima hahahaha jamani acheni ndugu nilichanganyikiwa. Mke ananishangaa tu. Mwisho nikasema yatosha, siwezi kuendelea kumfuraisha broker.
Bahati nzuri nilikuwa na pangale halijaisha Kigamboni, nikafanya mpango nikatafuta mteja kabla benki hawajaja kufanya yao, nikauza hii nyumba niliyokopea bei nzuri tukaenda benki Mteja(alikuwa mteja muelewa) akalipa deni la benki tukapewa hati tukaja tukamalizana. Pesa nikapeleka kumalizia pangale nikahamia nikawa nimebaki na kama milion 25 mkononi nikakimbilia kwenye korosho maana ndio ilikuwa biashara yangu kubwa, kilichotokea naamini mnakijua, Mpaka leo ninavyoandika Hapa pesa yangu haijarudi, Vitu ninavyofichukia kwenye maisha yangu kwa sasa ni Magufuli na Forex Mungu awatie lawana hawa mbwa. Leo kula yangu ya mashaka, napigania dadalala?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh pole sanaSitasahau Mwaka 2017- 2018 ulikuwa Mwaka mchungu sana kwenye maisha yangu Baada ya kukutana na hii fursa ya forex. Nilipoteza pesa nyingi sana na muda. Nilitumia akiba ikaisha, nikauza gari labda nitarejesha hasara zangu, unapata leo profit ya $ 500 unafurahi kesho napoteza $ 2000, Mwisho gari ikaondoka, nikakopa benki dhamana nyumba, nilikopa Milion 10 pesa ikaondoka yote, Kuna shamba nilinunua huko Bagamoyo kama heka 5 nikauza kwa bei ya kutupa milion 9 nikawapa madalali Milion 1 nikabaki na 8 nikaenda, nikapigwa.