Naomba ushauri wenu juu ya mambo haya, maana mwenyewe imefika mahali nimeanza kukata tamaa

Umesema umezaliwa 1990!? Kwa hiyo you are 30 hii 2020 yaani hata 40 years hujafika na unaanza kukata tamaa hivyo in LIFE? Sisi Watanzania tuna nini, mbona huu ugonjwa wa kukata tamaa unatufuatilia sana? Sasa ushauri wangu ni huu, ACHA KUKATA TAMAA, umehusstle na FOREX muda mrefu sasa, achana na hiyo biashara kwani nahisi huijui vizuri au hujajifunza undani wake vya KUTOSHA. Nakushauri IACHE HIYO BIASHARA YA FOREX. Tuliza kichwa chako kama msomi na uzue kitu kingine cha kufanya.Angaza biashara nyingine, kwani ziko nyingi na uingie huko. YOU ARE STILL VERY YOUNG KUKATA TAMAA. Huo ndio ushauri wangu LEO.
 
Asante kk
 
mkuu pole, Kwa kweli umepoteza pesa nyingi sana hadi nimekusikitikia.
 
huu ni mwezi wa tatu najifunza forex ila wewe jamaa umenikatisha tamaa, kumbe forex ikiamua kukufanya vibaya inakufanya kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe forex ni ulevi! Mmepoteza karibia M.100 Bado una moyo bro! Ushauri wangu achana na hiyo biashara utafia jela kwa madeni au kuuwawa na wemye pesa zao. Bora uunze mitumba, spea ,nk
 
Jamaa umefight
 
huu ni mwezi wa tatu najifunza forex ila wewe jamaa umenikatisha tamaa, kumbe forex ikiamua kukufanya vibaya inakufanya kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa sijui Kama forex inaweza kukufanya kinyume cha maumbile namna hiii...Kuna mtu namheshimu Kila siku ananishawishi ninunue saa mil 4 na mzoom tu
 
Janga la Taifa hili kwa haraka tuu ushapoteza kama M120 Hvi na bado unafikiria kufanya hiyo Kitu?? dahh sasa utakimbiwa mpaka na shetani
Halafu sie ambao sio risk taker hatupati kabisa pesa!
 
Ana dola 1000 halafu anafungua position 7 za 1.00[emoji3]

Lazima achome tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Kama huwezi itoa dola 100 to 1000 hutoweza itoa dola 2000 to 100000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usimdanganye mwenzako ana degree ya Finance bado unamshauri akacheze upatu
probability ina asilimia ngapi ya kupata na ngapi ya kukosa?
hiyo michezo ni ya maskini na hakuna tajiri aliyetoka kwenye Kamari
km wapo mtuyajie hasa waliopitia FOREX
Hapa nchini kwenyewe tunao.. anyway.. it's 2020...kila kitu kiko online huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saa ya million 4 na Forex inaingilianaje au umemaanisha nini hapo.

Alafu FX haikufanyi vibaya bali unajifanya mwenyewe umepata urithi wa 100M leo yote ukaiweka shambani hapo kilimo kimekufanya au umejifanya.

Katika story zote utagundua Nidhamu ndio kiini cha tatizo.
Nilikuwa sijui Kama forex inaweza kukufanya kinyume cha maumbile namna hiii...Kuna mtu namheshimu Kila siku ananishawishi ninunue saa mil 4 na mzoom tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…