😅😅Kwahiyo kwa haraka haraka una watoto kama 7 hivi mpaka sasa! Na hali hii!
Haya wakikua uwafungulie kampuni yao.
Sasa hujioni una shida? Mbona hutulii hata na huyo mchepuko mmoja? Ina maana nao Wana matatizo? We ni Malaya tu na hata Kinga hutumii utakufa kifo kubaya usababishie wanao shidaakiukweli nilimpenda sana na bado nampenda sana mkuu. Pia anapokuwa mbali na mimi kama vile kwenda safari kusalimia wazazi,nikibaki pekee nakonda. Nasema hivyo ili uwelewe kiukweli nampenda.
Unaongea kama mxng baridiNdiyo na kadhu amewanunulia na ushungi amewanunulia wa kike. Nimeziona Jana walipo niaga wanakwenda msikitini kusali eid
Jamaa ni mpumbavu sanaa alafu anasema ni Baba wa wa watoto wanne???? Shame shame yani unakojoaa kojoaa huko nje tuu as if una uwezo wa kulea kumbe unatengeneza watoto wa mtaani na masingle maza tu mtaani..Sasa hujioni una shida? Mbona hutulii hata na huyo mchepuko mmoja? Ina maana nao Wana matatizo? We ni Malaya tu na hata Kinga hutumii utakufa kifo kubaya usababishie wanao shidaa
Na akijua hayo Mambo ya michepuko ndo balaa
Subiri mtakapo anza kuishi wote na kuzaa ndio utaona dini ilivyo kigezo, hiv unais utajisikiaje kwenda msikitin mwenyewe wanao Wanaenda kanisani? Ama yeye atajisikiaje kwenda kanisan peke ake watoto wanaenda msikitini?Mimi ni muislam nina mpenzi Rc tupo kwenye mahusiano muda mrefu tunapendana namuomba Mungu atufanyie urahisi tufikie malengo yetu dini sio kigezo kaa chini na Mzazi mwenzako mtatue matatizo yenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah[emoji23][emoji23]kwa hiyo watoto anawapeleka msikitini. Kweli wanaume wachache
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] weee unahitaji maombi wallah, hivi una umri gan?Ndiyo na kadhu amewanunulia na ushungi amewanunulia wa kike. Nimeziona Jana walipo niaga wanakwenda msikitini kusali eid
Hiyo point no 03 itolee ufafanuzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1. Unachepuka sana kiasi kwamba huwezi kuwa na hamu wala kutamani nyumbani
Kama sivo
2. Wewe na mkeo hakuna amani kati yenu kiasi kwamba inawavurugia hisia, uchu na kufubaza matamanio ya tendo la ndoa
3. Kufanya tendo bila breaks wala utaratibu kiasi kwamba inapoteza kabisa hamu ya kile ukionacho mbele yako
4. Uliyenaye anamazingira yanayokuudhi/maumbile yanayokutoa ham na hamasa. Tafadhali mnapo tafuta wenza zingatieni sana mfanano au maumbile na vigezo mnavovipenda.... compatibility or else mtaishia kuzichukia sehemu za siri za wenzi wenu na kupoteza kabisa hamu ya tendo.... ukitoka nje unakuwa fiti.
Wasalaam.
Tatizo amekwisha jua udhaifu wangu ni watoto ndiyo maana ananifanyia vitimbi vya kuniweka nao mbali. Ananiambia dini yake inasema uisilamu unawatambua watoto ni wa kwake kwa sababu tumezaa nje ya ndoa.Mimi ni muislam nina mpenzi Rc tupo kwenye mahusiano muda mrefu tunapendana namuomba Mungu atufanyie urahisi tufikie malengo yetu dini sio kigezo kaa chini na Mzazi mwenzako mtatue matatizo yenu
Kiukweli Sipendi kuvutana kuhusu swala la watoto, nakuwa na hofu ya mungu. nahofia asije kuja kukasilika nakisha Kuamua kutunyang'anya ili tukose wote. Ndiyo maana naongea pasipo kutumia nguvu, najitahidi kutumia busara na hekima lakini hataki kunielewa.Mkeo ana nguvu kuliko wewe ndio maana swala la watoto limekushinda kuhusu wasimame na imani ipi