Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekutana na binti na kijana wanatongozana kwenye michongoma huku binti ukiwa anachora chini na kijiti kijana kasimama sasa sijui wakitaka kula mzigo pale itakuwaje ile miba uwiiiiHahaha.... Dandishia kabisa after hiyo tunakuja tarakea kuwasanya.... Juu wachagga hawananga noma when it comes to kwangu kwako game...
Hahaha Tz mna mambo chungu mzima, answer what you have been asked not what you think. Sasa hii story inaingia aje hapa? Ama na wewe umechangany kiwa kama ule binti ya ogwambo na Ile presentation ya new York kwamba Ile Gorge ya Olduvai iko +254.Nimekutana na binti na kijana wanatongozana kwenye michongoma huku binti ukiwa anachora chini na kijiti kijana kasimama sasa sijui wakitaka kula mzigo pale itakuwaje ile miba uwiiii
Si akuje kwa keja, ummange? Mengine mtamalizana kwa karau...Kuna huyu Dada, ameninoki design nashikwa na ugonjwa. Tulijuana Facebook na hata tukatubu dhambi mpaka usiku, tukaonana kiukweli ni msupuuu, noma ni pale yeye aniita mimi ni kaka yake wakati mimi Niko na mishe mishe za kutupa lugha.
Kuna siku nilimtext NENO baby. Akashika nare (went mud) akanishow kuwa baby ni mimi ila yeye ni mwite jina Lake, na kama haitoshi akapendekeza ni mwite Toto dimpos. Maana ako na dimpos joh!!
Jana kanitext nakupenda, baada ya muda mfupi akatuma text inayosema nakupenda kakake Toto dimpos.
Sasa nawaulizaje? Hivi hili NENO kuitwa kaka me linanikatisha tamaa, juu me nataka nimpende kama manzi yangu, sasa hii njaro imekaaje? Kuna time asubuhi ananitext na kuniambia amka nikuchumu daaah...... Nashikwa na njeve pale tu anaponiita mimi ni kakake.
Mtuguyas Hebu mnishoo next step to cross this barrier cos I know myself when it comes to sex I'm similar to the thriller in Manila.
Unajua maana ya mang'aa wewe?Safi sana...hii ndio Jf, mtoa mada kauliza kumang'aa...mdau kamjibu kwa kiingereza.
Konda wa bodaboda njoo umalizie kwa ki-spaniola chako twende mswano kwa mang'aa wako
Canada umerudi saa ngapi? 😀😀ahhhhhhhhhhhaaaaa...ndio maana nimepita pale Usalama Migomigo nimekuta difenda limepakiza pikipiki kama 5...kumbe kuna msako?
Pole yake
Ha ha mi sijakuelewaHahaha Tz mna mambo chungu mzima, answer what you have been asked not what you think. Sasa hii story inaingia aje hapa? Ama na wewe umechangany kiwa kama ule binti ya ogwambo na Ile presentation ya new York kwamba Ile Gorge ya Olduvai iko +254.
Hahaha... Just kidding maana hakawii kushika nare Mara hiyo hiyo.
Ngoja nikueleweshe Sasa.Ha ha mi sijakuelewa
Hujui...????Kwamba?