Naomba ushauri

Hahaha.... Dandishia kabisa after hiyo tunakuja tarakea kuwasanya.... Juu wachagga hawananga noma when it comes to kwangu kwako game...
Nimekutana na binti na kijana wanatongozana kwenye michongoma huku binti ukiwa anachora chini na kijiti kijana kasimama sasa sijui wakitaka kula mzigo pale itakuwaje ile miba uwiiii
 
Nimekutana na binti na kijana wanatongozana kwenye michongoma huku binti ukiwa anachora chini na kijiti kijana kasimama sasa sijui wakitaka kula mzigo pale itakuwaje ile miba uwiiii
Hahaha Tz mna mambo chungu mzima, answer what you have been asked not what you think. Sasa hii story inaingia aje hapa? Ama na wewe umechangany kiwa kama ule binti ya ogwambo na Ile presentation ya new York kwamba Ile Gorge ya Olduvai iko +254.
Hahaha... Just kidding maana hakawii kushika nare Mara hiyo hiyo.
 
Si akuje kwa keja, ummange? Mengine mtamalizana kwa karau...
 
Ha ha mi sijakuelewa
 
Ha ha mi sijakuelewa
Ngoja nikueleweshe Sasa.

Give me a favor madam, you wrote something pretty far from the matter on air, is like you stepped to a wrong shit.
I asked an advice but umekuja na story ya michongoma, mara kuchora na vijiti, sijui mzigo. Anyway so from ur own view is that relating to the thread? Sometimes you need to give people around you something little bit lighter, little froth.... I mean something comforting, just like coffee, you know how it feels drinking coffee without froth? Yeah I mean that foam on coffee makes it tastes wooow...
So froth, foam you got the point.

You sound funny anyway.
 
bila shaka mtoa Uzi utakuwa no mpenzi wa movie zilizo tafsiriwaa na AFRO DJ AMINGO
 
keep going as slow as possible. Let time prove it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…