Naomba ushauri

Naomba ushauri

Kesha elekea kibra huyo we chinja tu, bt usitupe ndoano kwa simu au text tafuta cku umiti naye face to face then tupia neno lazma atakubali..
 
He he he... Its a matter of time n the chick will be yours. Just show that you mean it...
 
Kuna huyu Dada, ameninoki design nashikwa na ugonjwa. Tulijuana Facebook na hata tukatubu dhambi mpaka usiku, tukaonana kiukweli ni msupuuu, noma ni pale yeye aniita mimi ni kaka yake wakati mimi Niko na mishe mishe za kutupa lugha.
Kuna siku nilimtext NENO baby. Akashika nare (went mud) akanishow kuwa baby ni mimi ila yeye ni mwite jina Lake, na kama haitoshi akapendekeza ni mwite Toto dimpos. Maana ako na dimpos joh!!
Jana kanitext nakupenda, baada ya muda mfupi akatuma text inayosema nakupenda kakake Toto dimpos.
Sasa nawaulizaje? Hivi hili NENO kuitwa kaka me linanikatisha tamaa, juu me nataka nimpende kama manzi yangu, sasa hii njaro imekaaje? Kuna time asubuhi ananitext na kuniambia amka nikuchumu daaah...... Nashikwa na njeve pale tu anaponiita mimi ni kakake.

Mtuguyas Hebu mnishoo next step to cross this barrier cos I know myself when it comes to sex I'm similar to the thriller in Manila.
Ati Olduvai Gorge iko kipande ipi mazee?
 
He he he... Its a matter of time n the chick will be yours. Just show that you mean it...
Hahaha iko Tz, Sema ule manzi kuchanganyikiwa tu. Si kwa ubaya sometimes ni stress ya babake odinga a.k.a akwambo.
 
Kesha elekea kibra huyo we chinja tu, bt usitupe ndoano kwa simu au text tafuta cku umiti naye face to face then tupia neno lazma atakubali..
That's what I was planning by then.
Thanks for backup.
 
Joh huyo manzii mtumie ile ngoma ya sio lazima to do na akija ghetto uwe na doo ya kutosha sio kumpigia ngeli za genge
 
huko kenya odinga wanamwita Jesus of Nyanzaland
Hahaha.... Nkt!!!! Huyo akwende kabisa, ati odinga!! Huyo anafaa akuwe hawker wa street za maseno na si prezzo ya kenya. Kwanza ukitaja hiyo njina manzee unanijamisha, kaa rada mzae kichwa yako ni kombo.

Ati odinga ni jeso wa nyanza? Wacha za HOVYO huyo Buda na opposition yake kule mashinani hawaletangi shangwe kabisa.

[HASHTAG]#uhuru[/HASHTAG] tosha 2017
 
Joh huyo manzii mtumie ile ngoma ya sio lazima to do na akija ghetto uwe na doo ya kutosha sio kumpigia ngeli za genge
Lllll
Hahaha... Ngiri ziko za kumtoanisha, hata saa zingine hunicall niende base yao na si mbaya, noma ni hapo kuniita me ni bro... Aaahhh nishikwa na wazimu. Yaani noma kilo sabini na saba.
 
Ngoja nipate kiroba aisee
Hahaha.... Dandishia kabisa after hiyo tunakuja tarakea kuwasanya.... Juu wachagga hawananga noma when it comes to kwangu kwako game...
 
Lllll
Hahaha... Ngiri ziko za kumtoanisha, hata saa zingine hunicall niende base yao na si mbaya, noma ni hapo kuniita me ni bro... Aaahhh nishikwa na wazimu. Yaani noma kilo sabini na saba.

Hahah...budaa wasalimie nairobi
 
Back
Top Bottom