Naomba ushauri

Naomba ushauri

du mkuu ni ya milango mingapi mkuu yani hyo gari yangu nazikubali kwenye 4wd ila zimenyima speed na ic ndani mbona kama ni 4silinda zinakula vzuri je tunaweza kubagain bei mkuu

Itakuwa ngumu mkuu, ni milango mi5 ni sirinda nne, na inakula mafuta vizuri tuu lakini inaniuma sana kuiuza maana uzima wake naufahamu mwenyewe na inakiyoyozi hadimu sana tofauti sana na Suzuki zingine huwa hakisumbui.
 
Sasa mkuu kama ulaji wake wa mafuta ni mzuri kwanini usijipige pige angalau uwe unatembea nalo kila J2!
Pia kuna mafuta ya dili yanauzwa na wana pale maeneo ya mtongani, bara bara mpya ya kuelekea Tandika,bei swafii kabsa ila ndo mafuta ya kuchakachua.
 
pole kaka , kwa vile umeamua kupaki na kwa kuogopa kuharibika kwa kutotumika .. nakushauri walau kila baada ya siku 2 uwe unaliwasha unaliacha japo kwa dk 10 .. na ikibidi japo mara moja au 2 unatoka nalo japo hata na familia walau ule mzunguko mzima wa gari uwe hai maana kulipasha tu hakutasaidia sana kama halitembei kabisa.
 
Back
Top Bottom