Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Single kibini mkuuNissan Pickup ipi mzee baba?
Too general boss. Ata model au mwaka basiSingle kibini mkuu
Zote ni imara ila kwenye body Nissan ana body ngumu sana,, kama hupendi mbio ishi na nissan hardbody engine code qd32 ila kama unapenda mbio na performance chukua yd25.. Vilevile Toyota engine 1kz ni old kidg japo haina noma,, 1kd nayo iko vzr sana ushauri wa mwisho ishi na nissan hardbody yd25nina issue sawa kama ya mtoa mada, napenda sana pick up hilux double cabin,
nimejaribu kuangalia nissan wana qd32,yd25 na toyota ndio wana zile 1kz,1kd,2kd
na mimi naomba ushauri kwenye pick up nzuri na imara mana ndio nipo kwenye mchakato wa kutafuta used.
Shukrani sana brother.Zote ni imara ila kwenye body Nissan ana body ngumu sana,, kama hupendi mbio ishi na nissan hardbody engine code qd32 ila kama unapenda mbio na performance chukua yd25.. Vilevile Toyota engine 1kz ni old kidg japo haina noma,, 1kd nayo iko vzr sana ushauri wa mwisho ishi na nissan hardbody yd25