Naomba ushauri

Naomba ushauri

kwe2tu

Senior Member
Joined
Dec 30, 2023
Posts
128
Reaction score
210
Wakuu nimepata gari aina ya nisan pick up. Nilitakujua changamoto ya gari hizi ni nini na kwahabari ya spea zake zikoje ni gharama sana au ni cheap naomba kwa mwenye uzoefu aniambie

Naomba kuwasilisha
 
Tungejua model yake, Engen ipi, ni ya mwaka gani , out au manual hapo itatusaidia kukushauri. I la kwakuanzia maisha ya Nissan ni mazuri sana ukishaanza kuyaishi huwezi kuyahama.
 
nina issue sawa kama ya mtoa mada, napenda sana pick up hilux double cabin,
nimejaribu kuangalia nissan wana qd32,yd25 na toyota ndio wana zile 1kz,1kd,2kd
na mimi naomba ushauri kwenye pick up nzuri na imara mana ndio nipo kwenye mchakato wa kutafuta used.
 
Zote ni imara ila kwenye body Nissan ana body ngumu sana,, kama hupendi mbio ishi na nissan hardbody engine code qd32 ila kama unapenda mbio na performance chukua yd25.. Vilevile Toyota engine 1kz ni old kidg japo haina noma,, 1kd nayo iko vzr sana ushauri wa mwisho ishi na nissan hardbody yd25
 
Shukrani sana brother.
 
Back
Top Bottom