Naomba ushauri

Naomba ushauri

Joined
May 23, 2023
Posts
65
Reaction score
136
Mwanangu amemaliza darasa la saba na amepata alama hz
Ana c moja tu
D nne
Na e moja
Naomba walimu mnijuze km kuna uwezkano wa huyu dogo kupangiwa shule na selikali
 
Hapo wastani wake ni D sio fail hiyo,Atapata
Ila jitahidi lishe mkuu matokeo dhaifu sana hayo
 
Ufaulu darasa la Saba mwisho ni grade C.
D na E amefeli. Kwan Sasa mtaftie nafasi ili januari arudie Drs la saba
 
Back
Top Bottom