Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
naam.Kuna siku kama 17+ zinapelea hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naam.Kuna siku kama 17+ zinapelea hapo
AjinyongeLea akue aambiwe baba ake sio wewe.😂
Jan 2-5 mwaka huu nlikuwa home Kwa wazeee sasa Kuna dogo wa kwa 'faza mdogo' kalea mimba demu alivozaa salama akamchana jamaa hili sio bao lako dogo wa Miaka 20 kapata pressureLea akue aambiwe baba ake sio wewe.😂
ni baba mleziMimi naona mtoto ni wako
Wanaume muendelee kujifunza,usiende kavu kwa mwanamke usiyemuamini ili kuepusha tabu kama za mleta mada,hata magonjwa pia
Ni baba mzazini baba mlezi
Ni mtoto wa kike ni wako ila kama ni a kiume ndio kuna utata.Kuna binti nilikutana nae kimwili 30/6/2024 amejifungua Jana 13/2/2025
Nina wasiwasi kama ni mtoto wangu, eti alitakiwa ajifungue tarehe gani na mwezi upi?
Bora upigwe virungu utaugulia utajikusanya upya Ila sio upande huu wa kuzalishana.Jan 2-5 mwaka huu nlikuwa home Kwa wazeee sasa Kuna dogo wa kwa 'faza mdogo' kalea mimba demu alivozaa salama akamchana jamaa hili sio bao lako dogo wa Miaka 20 kapata pressure