RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Yaan mm najuta na vikoba.yn hapa natamani nitukane zinga la tusi ,ndio kama nahisi ntafarijika.mkuu kua makini na vikoba.Vikundi vya VICOBA vipo vuzuri na vipo ambavyo vinawaacha watu kwenye majuto. Watu wengi sana wamenufaika na vikundi vya VICOBA hilo halina upinzani. Unachotakiwa ni kujiunga katika kikundi ambacho kinazingatia kanuni na taratibu hapo utafurahia lkn kama Hautapata Kikundi kizuri Ohhhhh Utaishia kujuta
Yea nipo mwaka wa mwisho wa nne,mchele bado nauza nilifungua frem nauzia kwenye frem ingawa pia nasambaza,banda la Mpira bado lipo pia nimefungua kisaluni cha kiume.Kwani bado unaendelea na course yako ya uhandisi,? Mchele kuuza uliacha? Daa mkubwa nikikumbuka kipindi kile unatembeza mchele najikuta hata mimi nijiingize kwenye biashara ndogondogo na ukatengeneza banda la mpira sasa sijui iliishia wapi bado unaendelea na kuonyesha mpira au uliacha
Wewe mpambanaji achana na vikoba kwanza ingia cryptocurrency utanikumbuka
Nimekuelewa mkuu,vipi kikiwa kibovu fedha ulizotoa hazirudishwi?.Vikundi vya VICOBA vipo vuzuri na vipo ambavyo vinawaacha watu kwenye majuto. Watu wengi sana wamenufaika na vikundi vya VICOBA hilo halina upinzani. Unachotakiwa ni kujiunga katika kikundi ambacho kinazingatia kanuni na taratibu hapo utafurahia lkn kama Hautapata Kikundi kizuri Ohhhhh Utaishia kujuta
Mkuu funguka vikoba vilikufanyaje kiongozi?.Maana watu wanaelezea mazuri tu nilitaka nifahamu naubaya wake kwa mtu aliewahi kushiriki.Yaan mm najuta na vikoba.yn hapa natamani nitukane zinga la tusi ,ndio kama nahisi ntafarijika.mkuu kua makini na vikoba.
Mkuu jitahidi uandike kwa uchache tu.Usiingie natamani nikuekeze kitu kuhusu vikoba, naona uvivu kuandika
Nimekuelewa kiongozi,sio kwamba kila kikoba kinakuwa na kanuni zake na taratibu?.Je wewe binafsi hukufaidika chochote na vikoba?Kuna vikoba hapa kwanza kila wiki unapiteza 4000, hiyo mnachangia afya, ukiumwa, ukifiwa haiwahusu.
Kukopesheka ni baada ya mwaka km una shida ya haraka ni ngumu kupata...!!!
Utafaidika na vikoba kama unatembeza biashara kule ni kuinuana ukikutana na mwana vikoba mwenzio anakuchangia....!!!
Sijajiunga mkuu... Nilielezwa hizo options na mwenyeji wangu anayeshauri nijiunge vikoba.Nimekuelewa kiongozi,sio kwamba kila kikoba kinakuwa na kanuni zake na taratibu?.Je wewe binafsi hukufaidika chochote na vikoba?
OK asante kiongozi,nimekuelewa vizuri nilikua nasikia kuwa wanatoa mkopo wa viwanja kwa bei nafuu sasa nami nilitaka niingie.December mwaka huu nami nichukue kakiwanja maana maisha magumu sana napesa yakulipa kwa pamoja nishiida kuipata,pia nikuze namtaji.Sijajiunga mkuu... Nilielezwa hizo options na mwenyeji wangu anayeshauri nijiunge vikoba.
Ila kwa vile nilitaka hela ya chap isiyo na Riba kubwa naona nakwama... Vikoba vyafaa sama km wewe ni mwenyeji wa sehemu hiyo. Ila kwa sie wapitaji ni shida....!!
Duu vikoba? Wanatoa viwanja kwa bei nafuu??OK asante kiongozi,nimekuelewa vizuri nilikua nasikia kuwa wanatoa mkopo wa viwanja kwa bei nafuu sasa nami nilitaka niingie.December mwaka huu nami nichukue kakiwanja maana maisha magumu sana napesa yakulipa kwa pamoja nishiida kuipata.
Kuna taasisi zinazokowakopa wanachama wa vikoba viwanja,bodaboda, bajaji kwa riba nafuu kwa namna nilivoambiwa but sina uhakika.Pia niliambiwa kuna vikoba endelevu,na vikoba visivyo endelevu.Vile visivyo endelevu huvunjwa mwisho wa mwaka.Duu vikoba? Wanatoa viwanja kwa bei nafuu??
Mkuu kuna vikoba vya mitandaoni vikoje hivo?.Hivi vya mitandaoni siviamini kabisa na sijawahi, navisikiaga tu eti wanafaidika
OK asante Mzigua90 nimekuelewa vizuri.Kila Vicoba ina sheria zake. Kwa mfano sisi chetu unaweza kukopa miezi mitatu baada ya kununua hisa na unapewa mkopo mara tatu ya hela uliyoweka. Hasara ni kwamba ukiingia vicoba ya watu wasiowaaminifu utalizwa. Zaidi ya hapo Vicoba ina faida sana