Gyole
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 7,008
- 7,059
Mkuu kuna vikoba vya mitandaoni vikoje hivo?.
Naona matangazo fb mkuu, wanatoa na pikipiki, bajaji nk, hadi mh 4th prezdaa anahamasisha, ndo maana nimesema siamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuna vikoba vya mitandaoni vikoje hivo?.
Naona matangazo fb mkuu, wanatoa na pikipiki, bajaji nk, hadi mh 4th prezdaa anahamasisha, ndo maana nimesema siamini
Ngoja tuendelee pambana.kuna kikoba flani nilikisia ukichangia million 3, unaweza vuta altezer ya milion 9, riba ndogo kweli,, niko mbioni kujiunga,,
pia wanakopesha hadi viwanja, ukimaliza kujenga ndo unapewa hati,,
kima cha chini kuchangia ni elfu 2,
hao wanachukua watu wa hali zote,,
Sasa 2000 hadi zifike 3M lini? Hilo jambo la kununua viwanja zuri sana na sisi mwaka huu tunataka tununuekuna kikoba flani nilikisia ukichangia million 3, unaweza vuta altezer ya milion 9, riba ndogo kweli,, niko mbioni kujiunga,,
pia wanakopesha hadi viwanja, ukimaliza kujenga ndo unapewa hati,,
kima cha chini kuchangia ni elfu 2,
hao wanachukua watu wa hali zote,,
lengo lao ni kuchukua watu wa hali zote, za juu na za chini,,Sasa 2000 hadi zifike 3M lini? Hilo jambo la kununua viwanja zuri sana na sisi mwaka huu tunataka tununue
Naona ndo kama mfumo wa vicoba unavyokua. Ila Vicoba watu wakishakua wengi sana ni changamoto. Kuna kikundi kimoja mwenyekiti alikula 50M. Wanakuja kushtuka hamna hela kwenye account.lengo lao ni kuchukua watu wa hali zote, za juu na za chini,,
kila wiki wanakutana, kima cha chini elf 2,
mwenye kipato kidogo anatoa elf 2, so kwa mwezi atakuwa ametoa elf 8,,
kama uko poa unaruhusiwa kutoa zaidi,
unaruhusiwa kukopa ×3 cha ulichochangia,, kama kwa mwezi ulichangia laki 3, basi unaweza kukopa laki 9.
hichi hakibagui kipato,
aisee noma sana,,Naona ndo kama mfumo wa vicoba unavyokua. Ila Vicoba watu wakishakua wengi sana ni changamoto. Kuna kikundi kimoja mwenyekiti alikula 50M. Wanakuja kushtuka hamna hela kwenye account.
Vicoba ni nzuri sana. Huwa natamani kila mtu angekua kwenye vicoba.
Tena utapeli wa wazi. Watu huwajui ukacheze nao michezo inayohusisha pesa? Vicoba nzuri ni ya watu mnaojuana.Blaza ule ni utapeli na ni account fake ile sio ya prezdaa. Wamewah kutumia na jina la EL. Sasa mm nkawa na account zao OG na hzo fake zake ambazo wanazitumia kwa utapeli. Trust no one in networks until ujihakikishie kwa jicho lako.
Bora ucheze BIKO lkn sio wale jamaa .
binafsi siwaamini kabisa!
Duuh. Laki 6 parefu. Au walitaka ulipe ili uwe hisa sawa na uliowakuta. Sisi kwetu kiingilio last year ilikua laki hiyo kwa mgeni lakini. Wenyeji tunatoa 30k.kikoba kikikomaa napo kuingia ni pesa ndefu, kuna kimoja nlitaka kuingia nkaambiwa nitoe laki 6 kama kiingilio,
yaaaan,Duuh. Laki 6 parefu. Au walitaka ulipe ili uwe hisa sawa na uliowakuta. Sisi kwetu kiingilio last year ilikua laki hiyo kwa mgeni lakini. Wenyeji tunatoa 30k.
Hicho bado hakijakomaa mkuu, kikoba nilichopo mimi ukitaka kujiunga utatoa 2,750,000. Faida Zake unaweza kukopa hela ndefu na nzuri kwa riba ndogo Sana.kikoba kikikomaa napo kuingia ni pesa ndefu, kuna kimoja nlitaka kuingia nkaambiwa nitoe laki 6 kama kiingilio,
Raha ya kikoba(nazungumzia kikoba kilichokomaa sio kinachoanza) unaweza kukopa pesa kwa riba ndogo sana ukaongezea kwenye mtaji tofauti na vile ungekopa bank. Mfano kikoba nilichopo Mimi unaweza kukopa hata 5m.wanachama wako vizr kabisa kwenye kuhamasishana juu ya uchakarikaji na usimamizi wa biashara.masharti ya kujiunga hata kama ni mfanyakazi lazima uwe na chanzo kingine cha kipato wanachama wathibitishe ndipo uunngwe.faida nyingine chama kikivunjwa hela inakuwa imeongezeka sababu ya riba ni uwekezaji pia! Hasara zake wanachama wasipokuwa waaminifu unaweza kupoteza hela zako, unaweza kushitakiwa pia kwa kikoba strong ukishindwa kufanya marejesho kwa muda.sababu kuna mkataba lazm ujaze. NB usikurupuke kujiunga kwenye kikoba chochote ni hatari kwa afya yako fanya utafiti kwanza!Wakuu salama.
Kuna watu wamekuwa wakinishiwashi niingie kwenye vikoba kuwa ntapata mikopo yakukuzia biashara. Nilikuwa naomba watu waliofanikiwa kukuza mitaji kupitia vikoba wanieleze kwa undani, maana hawa wanaonishauri niingie wananiambia faida za vikoba tu ni kiwauliza hasara zake ni nini hawaniambii.
Mimi binafsi ni mwanafunzi chuo wa mwaka wa mwisho, lakini nimebahatika kuajiri watu wanne, wawili kwenye saluni barbershop, mmoja kwenye banda la mpira na mwingine kwenye mchele lakini nilihitaji nikuze mtaji zaidi. Sasa nashawishika kuingia kwenye vikoba ingawa akili yangu pia inasita.
Naombeni ushuhuda kwa waliofanikiwa.