Naomba uzoefu kuhusu Honda Fit

Naomba uzoefu kuhusu Honda Fit

Mkuu kutoa gari bandarini ni 640,000? Ni magari yote madogo ama inakuaje kuaje
Mkuu, sijajua kwa magari mengine, ila gari langu nimelitoa kwa gharama hiyo (achloa mbali kodi za TRA)
AGENT ALINIPIGIA HESABU HIYO.
 
Safi Sana mkuu kwa mrejesho,uende nayo kijijini wazazi wafurahie nao
 
KABAKA28,
Naomba unisaidie hiyo agent fee unailipaje, na je ina makubaliano au just thanks giving?
 
Naomba unisaidie hiyo agent fee unailipaje, na je ina makubaliano au just thanks giving?
Mkuu agent fee ni kama hela ya dalali, maana wewe unakua umekaa home yeye ndo anatembea na makarasi TRA na bandarini....
Ni bargaining power yako, kuna wengine wanafanyia laki tano wengine laki moja.
It depends.

Ukiagiza gari, ukishalipia kila kitu, wewe unaendelea na kazi zako, unakuja kuotiwa kuchukua gari, kila kitu kipo tayari hadi plate number
 
Hao ma agent ndo wapigaji wazuri sana hapo unaweza kuta kashabania laki kadhaa
 
Hao ma agent ndo wapigaji wazuri sana hapo unaweza kuta kashabania laki kadhaa
Apana mkuu, tofauti na hizo laki mbili, hela nyingine zote zinalipwa Bank account ya TRA na TPA
 
naipongeza SANA jamii forum.kupitia mijadala ya biashara,nilipata wazo la mrad wa kufanya.kwa sasa ninaendelea nao VIZURI SANA!!asanteni wote tunaoijenga forum. hii!!.Mungu azid kutupatia maarifa hapa!!
Mm nimeshainunua tayari ninayo, niliagiza toka Japan imefika, nichek pm nikupe maelekezo zaidi
 
Hao ma agent ndo wapigaji wazuri sana hapo unaweza kuta kashabania laki kadhaa
Hio sio kweli. Gharama zingine unalipa mwenyewe mmiliki kwenye benki zilizopensekezwa na TPA na TRA. Agent hahusiki. Yeye anakupa invoice tu
 
Hatari sana kaka, yaan kodi ya gari n kubwa sana, zaidi ya Kodi ya kununulia
Ndivto tax calculator ya TRA ilivyo. Unaweza kuagiza gari toka nje ikafika bandarini kwa dola 2000. Utakadiriwa ushuru wa dola 2900 ama 3500 kabisa. Ndio hapo ninapochoka na TRA!
 
Hongera kiongozi. Usije ukakubali kubadili transmission fluid bila kuzingatia hiyo gari inataka uweke fluid ya aina gani.
 
Akanishauri nibadiri matairi
niweke makubwa kidogo au
nilipandishe juu kidogo.

sasa hapa huoni fundi wako hajui anachofanya....huoni kuongeza ukubwa wa tairi utaongeza pia na consumption
 
Back
Top Bottom