Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu agent fee ni kama hela ya dalali, maana wewe unakua umekaa home yeye ndo anatembea na makarasi TRA na bandarini....Naomba unisaidie hiyo agent fee unailipaje, na je ina makubaliano au just thanks giving?
Hao ma agent ndo wapigaji wazuri sana hapo unaweza kuta kashabania laki kadhaaMkuu agent fee ni kama hela ya dalali, maana wewe unakua umekaa home yeye ndo anatembea na makarasi TRA na bandarini....
Ni bargaining power yako, kuna wengine wanafanyia laki tano wengine laki moja.
It depends.
Ukiagiza gari, ukishalipia kila kitu, wewe unaendelea na kazi zako, unakuja kuotiwa kuchukua gari, kila kitu kipo tayari hadi plate number
Mm nimeshainunua tayari ninayo, niliagiza toka Japan imefika, nichek pm nikupe maelekezo zaidinaipongeza SANA jamii forum.kupitia mijadala ya biashara,nilipata wazo la mrad wa kufanya.kwa sasa ninaendelea nao VIZURI SANA!!asanteni wote tunaoijenga forum. hii!!.Mungu azid kutupatia maarifa hapa!!
Hizo ni port charges za TPA. Sio gharama za kodiMkuu kutoa gari bandarini ni 640,000? Ni magari yote madogo ama inakuaje kuaje
Hio sio kweli. Gharama zingine unalipa mwenyewe mmiliki kwenye benki zilizopensekezwa na TPA na TRA. Agent hahusiki. Yeye anakupa invoice tuHao ma agent ndo wapigaji wazuri sana hapo unaweza kuta kashabania laki kadhaa
Ndivto tax calculator ya TRA ilivyo. Unaweza kuagiza gari toka nje ikafika bandarini kwa dola 2000. Utakadiriwa ushuru wa dola 2900 ama 3500 kabisa. Ndio hapo ninapochoka na TRA!Hatari sana kaka, yaan kodi ya gari n kubwa sana, zaidi ya Kodi ya kununulia