Mr. Django
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,830
- 2,428
Hii yangu nimepiga Moro Mwanza kama mara 4 sasa bila tabu kabisa. Mara zote nimeendesha bila kusimama. Yaani gari ikiwaka saa 11 asubuhi inatoboa saa 1 jioni MwanzaMkuu samahani, vip kwa safari ndefu hizo honda fit mf dar to bukoba hazisumbui?
Asante sana, naitamani hiyo gari sana. Nipo njiani kuinunua ndio maana nilitaka kufahamu kwa safari ndefuHii yangu nimepiga Moro Mwanza kama mara 4 sasa bila tabu kabisa. Mara zote nimeendesha bila kusimama. Yaani gari ikiwaka saa 11 asubuhi inatoboa saa 1 jioni Mwanza
Honda ni Gari zuri sana kwa safari. Inafanya unavyoiagiza kufanya. Nimesafiri Kutoka Dar kwenda Newala mara mbili bila Shida yoyote lita 36 kwenda na 36 kurudi na yakabaki. kubwa zaidi buti lake. labeba mzigo ambao haukai kwenye IST. Honda Fit ni bonge la gari. Sijawahi kujuta. Kuhusu fundi ni yeyote mtaalamu wa magari. Ukiona anashindwa ujue hamana fundi hapo. kaana nae mbali. mi gari yangu natgeneza Veta.DSM. halafu pia huwa haiharibiki. kuharibika kwake ni bushi na pancha tu. vingine labda ajali.Mkuu samahani, vip kwa safari ndefu hizo honda fit mf dar to bukoba hazisumbui?
Mimi pia i have two car in mind niliwaza hiyo Honda Fit au Toyota Ractis; Kuna similarities kubwa sana, Naona pia zinafanana body shape.Spare zake ni bei lakini ni imara. Unahitaji upate fundi mzuri pia.
Kwa sasa bei ni sh. Ngap kuagiza honda fit kupitia SBT.Honda ni gari ngumu mno..zimbabwe ndio gari zao Toyota kwa mbali mno hata mazda pale zimejaa...
Ameen...Kagari ka kupigia misele haka. Mungu abariki hustle zetu.