Naomba uzoefu kuhusu Honda Fit

Naomba uzoefu kuhusu Honda Fit

Hii yangu nimepiga Moro Mwanza kama mara 4 sasa bila tabu kabisa. Mara zote nimeendesha bila kusimama. Yaani gari ikiwaka saa 11 asubuhi inatoboa saa 1 jioni Mwanza
Asante sana, naitamani hiyo gari sana. Nipo njiani kuinunua ndio maana nilitaka kufahamu kwa safari ndefu
 
Mkuu samahani, vip kwa safari ndefu hizo honda fit mf dar to bukoba hazisumbui?
Honda ni Gari zuri sana kwa safari. Inafanya unavyoiagiza kufanya. Nimesafiri Kutoka Dar kwenda Newala mara mbili bila Shida yoyote lita 36 kwenda na 36 kurudi na yakabaki. kubwa zaidi buti lake. labeba mzigo ambao haukai kwenye IST. Honda Fit ni bonge la gari. Sijawahi kujuta. Kuhusu fundi ni yeyote mtaalamu wa magari. Ukiona anashindwa ujue hamana fundi hapo. kaana nae mbali. mi gari yangu natgeneza Veta.DSM. halafu pia huwa haiharibiki. kuharibika kwake ni bushi na pancha tu. vingine labda ajali.
 
Spare zake ni bei lakini ni imara. Unahitaji upate fundi mzuri pia.
Mimi pia i have two car in mind niliwaza hiyo Honda Fit au Toyota Ractis; Kuna similarities kubwa sana, Naona pia zinafanana body shape.

Wataalamu mnaweza toa ushauri hapa, Mimi niliwaza Ractis kwasababu Mahali gari itatumika huenda Honda spare ikawa ishu kwenye availability.
 
Back
Top Bottom