Naomba uzoefu wa kuanzisha Non-Profit Organization

Naomba uzoefu wa kuanzisha Non-Profit Organization

Joined
Nov 30, 2020
Posts
31
Reaction score
15
Habarini wakuu na poleni kwa majukumu.

Naomba kwa walio na uzoefu wa kuanzisha NGO,s kama hizi non-profit organization masuala ya wanawake, watoto, vijana na vikundi ili kuleta impact kwa jamii upande wa uchumi na kuleta fursa ya kazi
 
Back
Top Bottom