Naomba video ya 'Napambana' ya Zuchu ifungiwe na BASATA

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Habari zenu

Zuchu zuchu zuchu nimekuita mara tatu kwanza naomba kupongeza content nzuri ya nyimbo ambayo inawapa hamasa ya kutafuta mafanikio kwa vijana wote kike/kiume hongera.

Kwa bahati mbaya nyimbo yako imeitia dosari kwenye video kwa kuhamasisha umalaya kwa kupambana kwako hatuwezi kuwa na jamii mbovu mnayoijenga huku mkifaidika.

Maombi kwa BASATA nyimbo ifungiwe.

Full stop.

---
 
Ndo mazingira aliyokulia,utafutaj wao ndio huo,usimlaumu sana 😅
 
Hii video nimeiona jana hata mimi na baby wangu tulishangaa sana,
Mimi nilidhani angeonesha vipande tofauti tofauti vya binti mpambanaji labda hapa mkulima, pale rubani, huku Mama lishe kule mwanasheria au bodaboda ila sasa udangaji duh!
 
Itasikitisha sana kama basata watatangaza kuifungia kwa sasa. Kwa nini hawana utaratibu wa kukagua kazi kabla haijatoka? Watakuwa wanaupaisha zaidi.
Kile ni kibaraza cha kuvutia mpunga na ruzuku toka wizara ya habari tu Tz. Hakuna lolote wanalofanya
 
Habari zenu

Zuchu zuchu zuchu nimekuita mara tatu kwanza naomba kupongeza content nzuri ya nyimbo ambayo inawapa hamasa ya kutafuta mafanikio kwa vijana wote kike/kiume hongera.

Kwa bahati mbaya nyimbo yako imeitia dosari kwenye video kwa kuhamasisha umalaya kwa kupambana kwako hatuwezi kuwa na jamii mbovu mnayoijenga huku mkifaidika.

Maombi kwa BASATA nyimbo ifungiwe.

Full stop.

---

Zuchu mapenzi yamekuwa mengi content hana zinapotea kichwani..

Dadeki Unaendekeza penzi mslziki unapotea..
Mshika mawili ....
 
Kudanga kuhalalishwe tu yaishe.Ni chanzo cha mapato.
 
Back
Top Bottom