ZINJANTHROPAZ
JF-Expert Member
- Aug 6, 2023
- 287
- 470
- Thread starter
-
- #21
yeah nina mbworo mkuu sijui ulitaka kusemaje
Umewahi kufichwa kichakani?yeah nina mbworo mkuu sijui ulitaka kusemaje
sijawahi mkuuUmewahi kufichwa kichakani?
hahahah hapana olaiboniNaona unajipigia promo
Basi angalia dunia imebadirika na Trump kawabadirishia upepo sasa mtakua mnawindwa balaasijawahi mkuu
akina nani hao ma gay au?Basi angalia dunia imebadirika na Trump kawabadirishia upepo sasa mtakua mnawindwa balaa
Manigga Qwame what's manic?akina nani hao ma gay au?
who will be hunted and for what and where is a relatation btn your comments with my thread? justify!!Manigga Qwame what's manic?
Ask Nyamwi255 atakupa jibuwho will be hunted and for what and where is a relatation btn your comments with my thread? justify!!
hahahah cjui jamaa yuko wapi?dj afro amigos
Lipia tangazoCLAPS YOUR HANDS TO THIS MAN.
Huyu mwamba ukimsikiliza vzuri kwanza ana uelewa mpana wa anachokifanya kuanzia lugha nahisi zinafika lugha nne za kimataifa na pia kiingereza ndo yuko vizuri mana hategemei subtittle.
Ukiachana na hayo napenda sana atafsiri movie yenye maudhui ya kijasusi na ki diplomasia anakueleza kila kitu clear, anajua mambo ya vita, mambo CIA, MOSSAD,FBI,TISS, mambo ya kila nchi mfano historia za miji kama timbuktu sijui mipaka ya kazakstan daaah!! plus matukio fiche ambayo hata kuyasikia kwingine ni nadra sana mpaka huwa nasema au katoroka kwenye system.
Mfano nlikuwa nachek series moja ya kijasusi inaitwa (agent x) kukawa na scene inazungumzia biological weapons sasa mule wameeleza kdogo na tukio kidogo tu. sasa acha huyu mwamba aanze kuleta nondo zake kuanzia ilpoanzia yaani ilipopigwa marufuku daah.
Mambo inside kabisa ya Marekani mpaka huwa nachoka hebu mwenye wasifu wake anaweza ongezea nyama ili nikija kuunganisha dots zangu ntapata majibu. lets go....
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kuwa na low IQ, kupenda bongo movies na kuangalia movies ZILIZOTAFSILIWA....🚮🚮Binafsi muvi ikishatafsiriwa hasa kwa namna hiyo ya hao madj napoteza mzuka hata wa kuicheki, wengi wanadanganya sana.
Inawezekana ikawa hivyo piaKuna uhusiano mkubwa sana kati ya kuwa na low IQ, kupenda bongo movies na kuangalia movies ZILIZOTAFSILIWA....🚮🚮
Noma sana. Watafsiri movie wana kamba sana muda mwingine wanaharibu kabisa story na kueleza vitu tofauti. Movie pekee ninazoweza kutazama ni zile zilizokuwa dubbed kwa lip sync tena professionally.CLAPS YOUR HANDS TO THIS MAN.